Ajira kwa vijana Tanzania imekuwa changamoto endelevu inayohitaji mbinu mbalimbali za utatuaji. Jitihada kutoka kwa serikali na sekta binafsi zinahitajika ili kuweza kutatua changamoto hii ya arija kwa vijana. Mara nyingi wataalamu mbalimbali wametoa angalizo juu ya ongezoko la vijana wasio na...
Naomba niongee kuhusu vijana wanaomaliza kidato cha sita na kupangiwa kwenda mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, sikatai ni kweli wanaenda kufundishwa mafunzo ya awali ya ulinzi na usalama pamoja, uzalendo na uzalishaji mali lakini tija ya maarifa wanayoyapata vijana hawa imeshindwa kabisa...
Ongezeko la idadi kubwa ya vijana wanao maliza vyuo vikuu,vya kati na vyuo vya ufundi umepelekea kuleta change moto ya ukosefu wa ajira katika Taifa na Dunia
Serikali na wadau mbalimbali ikiwemo mashirika yasiyo ya kiserikali wametoa na kuendelea kutoa mchango waho juu ya kukabiliana na tatizo...
Habari wanajukwaa.
Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunijalia Afya na kunipa wakati huu wakutoa mawazo yangu ambayo Huenda yakaleta athari chanya kwenye uchumi wa Tanzania yetu, Moja kwa moja nieende kwenye mada.
Kuna sehemu nyingi nimepita mikoani kuna majengo mengi yametelekezwa...
Japo haitokua 100% solution ya kutatua tatizo la ajira ila njia hii inaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira.
Kila tangazo la watu wanaoomba ajira humu ndani sina shaka kwamba wanamiliki simujanja (smartphone).
Je, vipi kama tukiwa na application ambayo inaweza kuwa sehemu ya watatufutaji...
Ningekuwa ndio mkuu wa wilaya ningetatua tatizo la ajira kwa watu wote wanaoishi wilayani kwangu.
Hizi ni hatua ambazo ningechukua.
Kwanza ningetambua idadi ya wahitimu wote wanaotokea wilayani kwangu.
Ningehakikisha kama hawana kazi za kufanya nawatafutia kampuni, taasisi na viwanda vya...
Leo asubuhi nimemleta mtu hapa UDOM kuhudhuria Usaili wa kazi za Utumishi, hakika watu ni wengi. Binafsi nliyemleta ameitwa kwenye Usaili wa nafasi za National Audit, only 10 kama sio 20 nafasi lkn wameitwa watu sio chini ya 3400, yaani watu hao ndio wapatikane only 20 people. Kibaya zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.