tazara

The TAZARA Railway, also called the Uhuru Railway or the Tanzam Railway, is a railway in East Africa linking the port of Dar es Salaam in east Tanzania with the town of Kapiri Mposhi in Zambia's Central Province. The single-track railway is 1,860 km (1,160 mi) long and is operated by the Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA).
The governments of Tanzania, Zambia and China built the railway to eliminate landlocked Zambia's economic dependence on Rhodesia and South Africa, both of which were ruled by white-minority governments. The railway provided the only route for bulk trade from Zambia's Copperbelt to reach the sea without having to transit white-ruled territories. The spirit of Pan-African socialism among the leaders of Tanzania and Zambia and the symbolism of China's support for newly independent African countries gave rise to TAZARA's designation as the "Great Uhuru Railway", Uhuru being the Swahili word for Freedom.
The project was built from 1970 to 1975 as a turnkey project financed and supported by China. At its completion, the TAZARA was the longest railway in sub-Saharan Africa. TAZARA was also the largest single foreign-aid project undertaken by China at the time, at a construction cost of US $406 million (the equivalent of US $2.67 billion today).TAZARA has faced operational difficulties from the start and was kept running by continued assistance from China, several European countries, and the United States. Freight traffic peaked at 1.2 million tons in 1986, but began to decline in the 1990s as the end of apartheid in South Africa and the independence of Namibia opened alternative transport routes for Zambian copper. Freight traffic bottomed out at 88,000 metric tons in Fiscal Year (FY) 2014/2015, less than 2% of the railway's design capacity of 5 million tonnes per year.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Naomba Ushauri Kuhusu ajira Tazara

    Naombeni Ushahuri, Nina mdogo wangu kapata fursa ya Kusomea Locomotive Driver (Dereva wa Treni) uko Tazara ambapo wataenda somea Huko Zambia kwa muda wa miaka Miwili cheti kilichotumika ni cha Form 4 na gharama za masomo na kila kitu inaweza fikia 5M Je, Ndugu zangu kwa mnavyoiyona Shirika la...
  2. J

    Ushahuri Kuhusu Tazara

    Naombeni Ushahuri, Nnamdogo wangu kapata fursa ya Kusomea Locomotive Driver (Dereva wa Treni) uko Tazara ambapo wataenda somea Huko Zambia kwa muda wa miaka Miwili chet kilichotumika ni cha Form 4 na gharama za masomo na kila kitu inaweza fikia 5M je ? Ndugu zangu kwa mnavyoiyona Shirika la...
  3. Tetesi: AJALI YA RELI YA TAZARA MLIMBA.

    Wana jamvi!; Poleni na MISHE MISHE za siku! Ndugu yangu Alikuwa aanasafiri Toka mbeya na reli ya Tazara Express kuja Dar! Alinipa taarifa Kwa simu kwamba wamepata Ajali MLIMBA!; Sijapata Mawasiliiano mengine zaidi. Mwenye Taarifa Atufahamishe!
  4. Msoto wa madereva kituo cha kujazia gesi Tazara jijini Dar es Salaam

    Unaweza kudhani magari yameegeshwa au kuna maandamano ya magari, lakini uhalisia ni kwamba gari zinasubiri kujaziwa gesi. Hali hiyo ipo leo Jumanne Oktoba mosi, 2024 kwenye kituo cha kujazia gesi ya magari Tazara jijini Dar es Salaam, ambako msululu wa magari umeanzia kwenye kituo hicho hadi...
  5. Tunaomba Serikali iingilie Kati hili la soko la TAZARA Tunduma ili kunusuru uchumi wa wanainchi wa tunduma

    Nikiwa kwenye mizunguko yangu ya kibiashara mkoani songwe nimekutana na Jambo ambalo limeni shangaza kidogo Kama sio Sana Tunduma Kuna soko lakimataifa la mazao linaitwa mataifani soko hili Lina patikana km.5 kutoka ulipo mpaka wa Tanzania na Zambia Lakini Tena kunasoko lingine la mazao lipo...
  6. Tuna Tatizo la Uwezo wa Uendeshaji Uchumi Wetu?. TAZARA Asante Mchina, Vipi Mingine? Hatutafika Mahali Tukahitaji Kusaidiwa Hadi Ikulu Yetu?.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Hoja ya leo ni je kuna uwezekano sisi...
  7. F

    Makubaliano ya China na Tanzania ni kuimarisha reli ya TAZARA iliyopo (MGR) na sio kujenga nyingine kwa viwango vya SGR

    Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania. The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge...
  8. Kama Maboresho ya Reli ya TAZARA ni ili tutumie treni ya dizeli tukatae huo mradi

    Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya. Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania kuukataa huu mradi. Kama tumeweza kujenga reli yetu ya kati kwa kiwango cha SGR tena umeme itakuwa ni...
  9. M

    Abiria Treni ya TAZARA kwenda Mbeya washindwa kusafiri toka Septemba 3, 2024

    Abiria waliokua wakisafiri na treni ya TAZARA kutoka Dar es salaam kwenda Mbeya wamepaza sauti zao kujua nini hatima ya safari yao baada ya kukaa stesheni ya treni Dar es salaam tangu jana septemba 3, wakisubiri kusafiri mpaka leo septemba 4, baada ya kupokea matangazo ya kuahirishwa kwa safari...
  10. Maboresho ya Reli ya TAZARA yaangalie usifanyike udanganyifu kama wa Kenya

    Tumeeelezwa Rais wetu mpendwa pamoja na mwenzake wa Zambia watasaini Makubaliano na Serikali ya China kwa ajili ya Maboresho ya Reli ya TAZARA! Kuna kaukimya fulani kwa Serikali kuhusu namna reli hii itakavyoboreshwa! Hatujui kama itaboreshwa kwa viwango vya umeme au la? Tofauti na wakati...
  11. Nikikumbuka Mabasi ya Mwendokasi, TAZARA, TRC, KAMATA, UDA, ATC, makampuni ya usafiri ya mikoa KAUDO, KAUMA, KAURI nk sina Imani na SGR

    Wakuu. Hii SGR imeanza kwa mbwembwe nyingi kama zilivyoanza kampuni nilizozitaja hapo juu zikisimamiwa na serikali kama DART ambayo ilianza kwa mbwembwe nyingi kama SGR ikuwa na mabasi ya kisasa yenye kamera, screen, mike zikifanya kazi na mpangilio mzuri wa tiketi hadi kutumia kadi na simu...
  12. A

    DOKEZO Treni ya Mwakyembe imesitisha ratiba yake takribani wiki ya pili sasa

    Treni ya Mwakyembe imesitisha ratiba yake ndani ya wiki mbili sasa, Treni hiyo ambayo safari zake huwa ni kuanzia Tazara kuelekea Kigogo sokoni Jijini Dar es Salaam imekuwa msaada mkubwa kwetu Wananchi tunaoitumia. Sisi wananchi tuliokuwa tunaitegemea tunapitia adha kubwa ya usafiri kwa sasa...
  13. ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

    Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza. ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena. Reli ya kati na TAZARA...
  14. Zaidi ya Abiria 300 wa Treni ya TAZARA kutoka Zambia wakwama Mbeya

    Abiria zaidi ya 300 wanaosafiri kwa gari moshi (Treni) kupitia reli ya TAZARA kutoka Nchi jirani ya Zambia,na Mikoa ya Songwe na Mbeya kuelekea Mkoa wa Dar es Salaam, wamekwama kwa zaidi ya saa nane katika stesheni ya TAZARA Mkoa wa Mbeya baada ya kichwa cha gari moshi hilo kupata hitilafu na...
  15. L

    China yapendekeza ukarabati wa reli ya TAZARA wenye thamani ya dola za Marekani bilioni moja

    Katika hali ya kufurahisha na kufufua matumaini, hivi karibuni balozi wa China nchini Zambia Bw. Du Xiaohui alimwambia waziri wa uchukuzi wa Zambia Bw. Frank Tayali, kuwa serikali ya China inapanga kutumia dola bilioni 1 za kimarekani kuifanyia ukarabati reli ya TAZARA, inayounganisha eneo la...
  16. Abiria wa Treni ya TAZARA washushwa mpakani ili Treni Ipulizwe Dawa ya kuua vimelea vya Kipindupindu

    Abiria wa Treni ya TAZARA iliyotoka Zambia wameshushwa mpakani Tunduma ili Treni ipulizwe dawa ya kuua vimelea vya Ugonjwa wa Kipindupindu. Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Dr. Enock Mwambaraswa amesema hatua hiyo imekuja kutokana na taarifa za kuwepo kwa Ugonjwa wa Kipindupindu...
  17. Hiki ndiyo Kibao cha kuonyesha Nyerere Road Pale Tazara Daraja la Mfugale

    Great Thinkers Hii ndiyo bongo aka nchi ya watu wasielewa wanataka nini. Mimi naamini uwekaji wa mbao za anwani ya makazi ulikuwa ni ufisadi uliopitiliza. Acha akina isack.mwigulu waje wachukue usukani wa baba zao. Imagine hiki hapa ndiyo kibao kuonyesha nyerere road pale mfugale afu kuna...
  18. Regional General Manager at TAZARA December, 2023

    Position: Regional General Manager, Tanzania (Based In Dar Es Salaam) Reporting to: the Managing Director The successful candidates will manage, plan and control regional train operations. Duties: The main duties for the Regional General Manager include: Developing and implementing marketing...
  19. Tazara kukabidhiwa wachina

    Kikosi kazi kutoka kwa kampuni ya serikali ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kimefika Dar es Salaam kufanya ukaguzi kamili wa biashara na kiufundi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA) kabla ya China kuichukua rasmi. CCECC inaendesha mazungumzo ya makubaliano...
  20. Nafasi ya kazi (Regional General Manager) TAZARA

    The Tanzania Zambia Railway Authority (TAZARA) is a bi-national railway company owned jointly by the Governments of the United Republic of Tanzania and the Republic of Zambia. The railway stretches from the port of Dar es Salaam in Tanzania to New Kapiri-Mposhi in Zambia, covering a distance of...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…