To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.
Shirika la Utangazaji Tanzania TBC kupitia luninga ya Taifa TBC 1 limeanzisha kipindi kipya Kiitwacho “MADA KUU”.
Ni kipindi kinachohusu mijadala moto moto kuhusu masuala mbalimbali yanayojiri katika jamii iwe ni siasa, uchumi, michezo, uongozi n.k
Tayari TBC imejizolea umaarufu miongoni mwa...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema kupitishwa kwa Sheria ya TBC kunatokana na mapenzi makubwa aliyonayo Rais Samia Suluhu Hassan kwa shirika hilo.
Akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TBC...
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, nimelala bonge la hotel, bonge la chumba, bonge la kitanda, ila sisi watu wa yale mablengeti, nimejikuta nimekosa kabisa usingizi, hivyo 12 :00 asubuhi nika tune TBC kipindi cha Jambo Live.
Leo kuna watangazaji watatu mahiri kabisa...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ametolea ufafanuzi madai ya baadhi ya watu wanaoishutumu TBC kwa kutovialika baadhi ya vyama vya upinzani, ikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kushiriki mijadala inayohusu siasa.
Akijibu shutuma...
Barabara ya ‘Mnara wa Vodacom’ inayochepuka kutoka barabara mpya iendayo Butiama-Nyamuswa-Ukerewe imekuwa kero kwa wakazi wa Ligamba mtaa wa Ligamba ‘A’—Wilaya ya Bunda, Mara.
Barabara hii, licha ya kuelekea kwenye minara ya Vodacom na ofisi za TBC pamoja na minara ya TBC, haijawahi kufanyiwa...
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) inapaswa kuwa sauti ya mwananchi, chombo huru na tegemeo la jamii katika kutoa taarifa sahihi, za kina na zenye kuwajibisha.
Katika enzi ya habari zinazoenezwa kwa kasi kubwa, TBC inapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuripoti matukio muhimu yanayoikumba...
Television ya Taifa au Radio ya Taifa hasa Taifa hili la Tanzania halirushi kitu live bila kuwa programmed.
Mbowe alishapangwa na walishakubaliana nini akaongee.
Hata Masheikh na Maaskofu ili Dua zao zirushwe live lazima waonyeshe kwanza hizo dua ndio waruhusiwe.
Nikiwa jeshini nilikuwa mmoja...
Wakili Msomi na Rais wa TLS Boniface Mwakubusi ameuliza kupitia mtandao wa X kama wale walioidhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid kama wamesema lolote kuhusu jambo fulani kupewa LIVE Coverage na TBC.
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari.
Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia
Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha...
Toka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe??
Hapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa
Poleni watanganyika.
Leo kipindi kinaongozwa na mwanamama. Jina lake sijalinasa. Yupo katibu wa tamisemi ndugu Ndunguru, yupo mtu wa TAKUKURU na naibu msajili
Mada inahusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Naamini kabisa kuwa aidha Dr Ryoba kakimbia kipindi kuepuka lawama au kaambiwa asiendeshe kipindi...
Serikali kupitia Bunge wapo katika mchakato wa kuifanya Shiriki la Utangazji Tbc Kuwa Taasisi itakayojitegemea na kufanya Biashara, Kwa Mujibu Sheria ya Sasa Tbc inatamburika kama Shirika Ła Seriali linatoa huduma, ambapo linategemea kupata Ruzuku Serikalini
Kwanini Nasema Tbc hawafai kwenda...
TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
Wahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption imeandikwa Kigoma.
Anyway, kwa tuliosoma Kyuba, pale palipoandikwa marehemu "ameacha familia"...
Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa (wadhamini wao). Wanakuja kutangaza hata orodha ya wachezaji wakati mpira una dk 5.
Kwanini matangazo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.