To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.
Wakuu nawasalimu wote,
Nimeona kwenye page ya tbc wakitoa taarifa kuwa watarusha mkutano mkubwa wa kihistoria uzinduzi wa kampeni jijini DSM
===
TBC1 leo tutakuwa mbashara katika uzinduzi wa kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka viwanja vya Mbagala Zakhiem jijini Dar es...
CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum...
TBC Mungu anawaona na kwakweli hamtutendei haki kabisa. Mmeonyesha live wagombea wote 35 wa vyama vingine, imefika zamu ya CHADEMA mmejitoa na kuleta kipindi cha ZINAZOKIKI. You guys what you are doing is very unfair.
Hii ndio sababu wananchi wameamua kuwaweka kando.
Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan.
M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
Amani na iwe kwenu. Salaam
Natoa pendekezo kuwa "Shirika la Utangazaji la Taifa" TBC likabidhiwe kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ndo awe mmiliki wake kwa 100%. Madhumuni ya pendekezo hili ni kuliwezesha liweze kufanya kazi kwa ufanisi zaidi bila kuwa na mgongano wa kimaslahi. Hatua hii pia...
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo amevitaka Vituo vya Utangazaji (Radio, Televisheni, Blogs na Online Tv) kuzingatia Kanuni mpya za Maudhui Mtandaoni 2020 na Kanuni Mpya za Redio na Televisheni 2020.
Mihayo ameyasema hayo wakati wa kikao kati...
NI NANI WA KUIONYA TBC KUACHA UPENDELEO?!
TBC inaongozwa na AYUBU RYOBA,huyu ni mhafidhina aliyegeuka kuwa mwimba kwaya.
ameharibu sana TBC na kimekuwa chombo cha chama badala ya UMMA.
Kumbuka amekuwa akimdanganya mkuu kwamba TBC hakuna matatizo na pia amekuwa akifanya ujanja ujanja ili JPM...
Tupo katika kipindi muhimu sana cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, mwishoni mwa mwaka huu.
Ni matarajio ya Watanzania wote kuwa vyombo vyetu vya habari vya Umma vitatekeleza wajibu wao kwa usawa bila kupendelea chama chochote cha siasa.
Tumeshuhudia chombo cha habari cha television ya Taifa...
Kuna nini?
Kwanini TBC1 wana tangazo moja tu la Historia ya Libya na Iraq, kuna nini huku kwetu, wanatengeneza mazingira au ni kampeni, mwenye uelewa atujulishe maana, kwangu binafsi sina Histora yoyote ya ACT wala CHADEMA kuwateka wanachama wa CCM na kuwaua sina kabisa, huenda wengine wana...
Historia ya Benjamin Mkapa
MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA
WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
bendera
chadema
habari
haki
historia
huzuni
itv
kubwa
makongoro
makongoro nyerere
maua
mkapa
musiba
mwanaharakati
nyerere
nyumbani
rais
saa
serikali
shada
sherehe
tanga
tbc
uhuru
upinzani
watoto
Jioni hii kwenye TBC aridhio nimemwona mtangazi Spensa Lameck akiripoti kutoka Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam . Je, itakuwa amerudi TBC akijiandaa kukiwasha kwenye kampeni tena kunako mwezi ujao? Picha sijapiga nilisahau kama kuna mtu ana picha atuwekee
Mtangazaji wa michezo TBC ambaye anagombea ubunge jimbo la Rungwe mkoani Mbeya amekanusha taarifa zinazoenea kwamba amepata ajali mbaya.
Bwigane amesema wakati ajali inatokea hakuwa ndani ya gari ila dereva amefariki.
Source Swahili Times
Rip dereva wa Bwigane.
Maendeleo hayana vyama
Ndugu WanaJF,
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi.
Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika...
Viongozi Wateule walioapishwa Leo ni:
1. Bw. Aboubakar Kunenge- Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
2. Bw. Joseph Joseph Mkirikiti - Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara
3. Bw.Paulo Mshimo Makanza - Kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam
4. Bw. Gabriel Pascal Malata- Kuwa Wakili Mkuu wa Serikali...
Kipindi hiki kilibuniwa ili kuwasaidia wanafunzi ktk likizo yao ya muda mrefu iliyosababishwa na mlipuko wa janga la virusi vya corona.
Janga ni kama limeisha, wanafunzi washarejea mashuleni. huko mashuleni wanafunzi wako bize na waalimu wao kutekeleza ratiba za kila siku, na sidhani kama kuna...
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi...
Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na anayeshirikiana na wananchi katika maisha ya kila siku. Mtu kama huyo ndio anayehitajika na anayetafutwa...
The big brain theory kipindi kimoja kizuri sana kipo Discovery science wale jamaa wamechukua magenius af wanawapa challenge mbalimbali za kisayansi daaah.. wanavyo solve sasa kwa teamwork hadi raha kuna jamaa anaitwa erick ana IQ 142 kumbe keyboard yangu nzima ngoja nianze andika sasa...
Habari waungwana,
Binafsi huwa naamini TBC 1 na TBC Taifa huwa na vipindi vingi vizuri ukiacha habari na baadhi ya vipindi vya kisiasa ambayo bado inajadilika lakini pia kuwa chombo cha serikali ni rahisi kuwa upande uliopo kwani sehemu nyingi duniani chombo cha habari cha taifa(Serikali) huwa...
Wanabodi,
Nimepokea taarifa kuwa Mtangazaji Maarufu wa RTD, (sasa TBC), ABISAY STEVEN, amefariki dunia asubuhi hii.
Mpashaji habari wangu amesema msiba huo umetokea katika hospitali ya Muhimbili alikolazwa kufuatia kuugua kwa muda mfupi.
Taarifa zaidi zitafuatia.
Kwa wale wa zamani huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.