To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la viongozi wa kiserikali kushiriki mahojiano mbalimbali pale Wasafi FM. Yaani ni kama wanapishana vile, ukiangalia namba ya viongozi hawa hawa kwenda TBC FM ni kama haiko kabisa.
Je, huku si kukosa uzalendo?
Jana kwa nasibu nilibahatika kuangalia taaarifa ya habari ya TBC! Bila Shaka taariffa hiyo ilimpa nafassi kubwa Sana Marehemu,kuanzia historia Hadi utumishi ambao wao waliuita uliotukuka!
Ila Cha kusikitisha ni kuwa badala ya kumjadili Kijazi ,walikuwa wanamjadili JPM!
Kimsingi waandaji wa...
TBC leo imerusha kipindi maalumu cha kumuenzi aliyekuwa Msimamizi wa Ujenzi wa Bwawa la Nyerere Injinia Kamuhaba aliyefariki January 19 katika hospitali ya muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Injinia Kamuhaba alikuwa mwafrika wa kwanza nchini kusimamia mradi mkubwa wenye thamani ya zaidi...
Mtusaidie kujua hii TV ya TBC1 ni ya nani, nauliza kwa sababu ya kile kinacho zungumzwa mfano Kumsifia mtu masaa 24, kumuonyesha mtu flan peke yake masaa mengi zaidi ya masaa ya kurusha matangazo ili kiweze kujikusanyia mapato ya kujiendesha, haiwezi kupita nusu saa kuna mtu lazima atajwe yeye...
Habari zenu wana jamvi, Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada iliyo nileta hapa. Ni kwa muda sasa nimekuwa nikifwatilia makala zinazoandaliwa na huyu kijana wa kitanzania bwana Denis Mpagaze. Makala hizi kwa wale tuliowahi zitegea sikio, hapana shaka mtakubaliana na mimi kuwa ni...
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno.
Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa, si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?
Tulishindwa kununua mechi za Aston Villa kwa maana ligi kuu ya Uingereza inajuliakana kuwa ni aghali dunia nzima...
VIONGOZI WA DINI WATUMIA TBC KUTOA MAONI YAO KUMSIFIA RAIS MAGUFULI.
Tarehe 9 Desemba 2020 majira ya Saa 9 asubuhi. Nipo katika runinga nikitazama na kuangalia kipindi maalum katika TBC. Kuna viongozi wawili wa dini, Askofu Sylivester Gamanywa wa WAPO Mission International na Sheikh Swed Twaib...
TBC kuna mchungazi kwenye msiba wa Judge Nsekela anashusha nondo msikilizeni. Siamini masikio yangu, msikilizeni mchungaji.
Pia, Soma=>Kamishna wa Maadili, Jaji Harold Nsekela afariki dunia
========
WASIFU WA MAREHEMU NSEKELA
Kuzaliwa: 29 Oct 1944
Alisoma shule ya msingi na kati Mpuguso...
Ni mkutano wa kutathmini yaliyojiri katika uchaguzi mkuu wa 2020 na kuweka mikakati thabiti ya maandalizi ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu, Dkt. Bashiru amesema sasa wanayo kazi moja kubwa ya kujaza nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi komredi Polepole a.K.a Mwendokasi aliyeteuliwa kuwa Mbunge...
Dr. Ayub Rioba, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC
Katika kipindi cha Nyimbo Zetu kilichorushwa asubuhi ya tarehe 15 Novemba 2020, kupitia luninga ya TBC, mtangazaji wa TBC, Festus Makerubi, amerudia mara nne maneno ambayo meseji yake ya msingi inawakilishwa na maneno...
Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM.
Mchambuzi wao huyu anaonekana wazi kuwa amekuja kuhamasisha watu kumpigia kura Ndg. Magufuli na mbaya zaidi anamkandia Mzee Mwinyi na kueleza mazuri ya...
Muda huu huyu Mtumishi yuko live, TBC hawataki kuruhusu simu kupigwa studio ili ajibu maswali waliyonayo Wananchi, ina maana gani kupiga porojo tu, nadhani kuna haja ya kuleta mabadiliko makubwa sana
Tunajua hiki kipindi cha Bongo Kama Ulaya kipo kwa ajili ya kukusanya kura tar 28 lakini kwa sasa hiki kipindi kinaboa.
Kila siku madaraja ya juu na treni za mwendo kasi, sidhani kama mmejipanga vizuri.
Habari inanoga kama huwezi kutabiri kabla ya kuiona/kuisikia lakini hiki kipindi kikifika...
Imekuwa kawaida kwa TBC - ONE kufanya kazi ya "kusifu na kuabudu" mgombea fulani kati ya wengi waliopo kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi kiasi cha kukirihisha.
Imekuwa ile ya Korea Kaskazini inayofanya "personality cult" kwa kumfanya kiongozi wa nchi kuwa ndiye "mungu" jambo ambalo halifai...
Nimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM.
Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa wakati huo huo kukiwa na background ya wimbo wa Zuku akiimba wapinzani wanyong'onyee ni kuwakosea...
TBC wanayo matangazo kipindi hiki ambayo yanahamasisha watu kwenda kupiga kura. Matangazo haya yanakuwa na kipande cha mtu anaongea kuhamasiha wengine kwenda kupiga kura na ni matangazo yasiyofungamana na chama chochote.
Sasa limekuja la 'Mhogo Mchungu' maarufu kwa uigizaji wa filamu. Tangazo...
TBC Tanzania Broadcast Corporation ambapo zamani ilijulikana kama TvT katika hali ya kustaabisha na kushangaza ulimwengu inasemekana haipo hewani na habari kutoka vyanzo ambavyo bado havija dhibitishwa ni kwamba Maji yameingia ndani ya studio na tangu asubuhi imekuwa ikifanika jitihada ya kuvuta...
Matangazo ya TBC hususani kampeni za Uchaguzi Mkuu ni utopolo mtupu uliokosa weledi na busara za kiutangazaji kama chombo cha umma kinachogharamiwa na kodi za wananchi wote.
Tumevumilia sana, sasa tumechoka. Ni ujinga, hata kama mnalazimishwa, kuitangaza CCM pekee na Wagombea wake kuanzia...
Uchaguzi na propaganda ukaa pamoja siku zote. Lakini propaganda zisivyopangiliwa vyema zinaweza kuwa mwiba kwa anayesimuliwa.
CCM fanyeni maamuzi magumu, kubalini kuwa Polepole amepwaya kwenye hiyo nafasi, kubalini kuwa ni kipindi Cha kutafuta wabobezi waingie kazini si kuruhusu watu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.