To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.
UTV kuna mechi kati ya Brentford na wolves lkn wakat mechi inaendelea tukapitishiwa maandish chini yakieleza kuwa mechi itaendelea ZBC2 ili pale UTV waendelee na taarifa ya habar.
Nisichojua ni kuna ushirikiano gani kati ya Azam na ZBC na mpaka kupelekea azam kuipa nafas kubwa kwenye matukio...
Dkt. Ayub Rioba jana alipata fursa ya kuongea kwenye kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC 1 na kuelezea mambo mengi yanayolihusu shirika ikiwemo kuanzisha chaneli ya kiingereza kuwakabili watu wanaoisema vibaya Tanzania huko duniani. Pia lilikuwepo swali la tetesi za yeye kuachia...
Hakika sikio la Kufa halisikii dawa
Hali inazidi kuwa mbaya, Sasa ivi wakubwa Hawa wamejikita kupinga NYIMBO za taarabu asili Kama mvuaaaa yaan inashangaza kidogo
Kwann Sasa ivi Hawa wakubwa Wana piga Sana NYIMBO za taarabu asili iv lengo lao Nini hasaaa
Acheni mambo yenu TBC embu...
BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU
Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake.
Wasaidizi hao kwa uchache ni Mkurugenzi wa Manunuzi na Mkuu wa Satellite.
Tayari baadhi yao wamekuwa wakihojiwa...
Jana TBC wameleta story ya Mwalimu mstaafu kutapeliwa, hii story ya mafao ya huyu mama Kulipwa sio ya leo, kwanini msilete sotry ya hivi karibuni, yote haya mnayaleta kuhadaa watu kwamba wastaafu wanalipwa mafao yao na wanatapeliwa hili ameshalizungumzia Msemaji wa serikali mwezi jana tukamkosoa...
Wadau habari za usiku !!
Mbali na mabadiliko waliyo fanya TBC bado kituo hicho kinakosa vipindi vyenye mvuto kabisaa pamoja na watangazaji pia hawana bashasha na haiba.
TBC wana kipindi kinaitwa Jambo Tanzania (Good morning Tanzania) hiki kipindi hivi karibun kimekuwa kina endeshwa kiajabu...
Habari Wadau
Yawezekana kabisa kuna watu siju hizi hawaangalii TBC 1. Lakini kuna ambao kila siku kuanzia saa 10 usiku tunaiangalia TBC 1 kutokana na shughuli tunzokuwa tunazifanya.
Muda woe huo kipindi cha mwaka mzima huwa zinapigwa nyimbo hizo hizo mpaka tumezikariri. Wimbo zinapigwa kila...
Wadau habari zenu !!
Siku ya leo majira ya asubuhi nilioata wasaa wa kutazama chombo chetu cha habari cha taifa TBC TV katika hali ya kustaajibisha leo nikaona studio yao ina jiko kitu ambacho nimekiona cha ajabu sana,.
Nimebahatika kutazama vituo kadhaa vikubwaa mfano CNN, BBC, Al jazeera...
Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD.
Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata...
NYERERE DAY BABA KABWELA UNO 1955
Mwisho wa kipindi cha Aridhio TBC 1 kuanzia leo hadi Nyerere Day yenyewe wataweka kipindi kifupi kutoka mahojiano niliyofanya na Mtangazaji Safina Yasin.
Kwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni.
Yaani kwanza mechi zote lazima dakika 5 zinapotea kwenye matangazo sijui wanashindwaje ku balance muda, ikifika half time uchambuzi ni hovyo kabisa ukitoa Jesse...
POST: ENGINEER II (ELECTRICAL) – 1 POST
POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER: Tanzania Broadcasting Corporation (TBC)
APPLICATION TIMELINE: 2021-09-23 2021-10-06
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
To execute electrical installations under a Professional Engineer
To...
Benki ya NBC imedhamini live miaka 40 ya shririka la World Vision Tanzania, Mhe Rais yupo Bagamoyo wanarusha live pia, sasa najiuliza kwann hawa TBC wasingesema kwa muda huo hawataweza kurusha kipindi cha World vision live, sasa inakuwa wakate huku waunganishe huku watuonyeshe badae wakate huku...
Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake, hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa, hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani sisi tutaishije?
Katika hali ya kushangaza, programu ya TBC online katika mitandao ya kijamii imeripoti kwamba goli la pili la timu ya Zanaco ya Zambia dhidi ya Yanga ya Tanzania katika tamasha la kilele cha wiki ya mwananchi, kwamba lilifungwa na mchezaji anayeitwa Sikaumbwe, kinyume kabisa na matangazo ya TV...
Leo 18/09 TBC wapo mubashara wakijadiri katiba mpya katika kipindi chao cha MIZANI.
Tena wameita watu mbalimbali wakiwepo,Prof. Mahalu,Prof.Lipumba,mhe.Hamad Rashid na Dkt.Kinunda wakiongozwa Dkt.Rioba.
Sasa na CHADEMA nao watajadiri hivyo hivyo katiba mpya siku ya tarehe 04/09 huko Mara...
Rais mteule Hakainde Hichilema. Jana Amelihutubia Taifa na kusema Yafuatayo
[emoji117]TV ya TAIFA haikuonyesha MIKUTANO ya UPINZANI
[emoji117]Msipoyaonyesha Watazamaji Watapungua
[emoji117]Watazamaji Wakipungua hamtapata Matangazo
[emoji117]Mkikosa Matangazo Mtakufa na Mtafunga
[emoji117]Mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.