Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha hadi sasa sijui kaenda kufanya nini TBC.
Kageuzi TBC kama TV ya Chama tawala na anajivunia hilo.
Je, rasi, unaona ni sawa kwa usitawi wa kitaifa?
TBC ni Shirika la Utangazaji Tanzania (zamani: Televisheni ya Taifa...