TBL naomba Ufafanuzi wa hizi bia mbili hapo kwenye picha
Moja imejaa mpaka juu na nyingine haijajaaa
Na hata Lebo na vizibo ni tofauti
Swali ni je kuna fake na original Kati ya hizi bia?
bia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani?
Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo ulipo zinapatikana?
uongozi wa TBL tunaomba mtueleze kwanini bia zenu hazipatikani? sisi wateja wenu...
Katika kusheherekea siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini, leo imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu. Kampeni hii inalenga wauzaji na watumiaji wa bia ili kuwahimiza kunywa...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Usambazaji Maji wa Wizara ya Maji, Joyce Msiru (katikati) wakipokea ripoti ya Maji inayolenga kukabiliana na changamoto za usalama wa maji jijini Dar es Salaam kutoka kwa Michelle Kilpin, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Breweries...
Tanzania Breweries Limited (TBL), one of Tanzania’s top manufacturers and employers and a key partner in the socio-economic development of the country, has today signed a Memorandum of Understanding (MoU) with the CRDB Bank Foundation to collaboratively implement the Barley Farming Pre-financing...
Tanzania Breweries Limited (TBL) has significantly decreased production of Konyagi, one of the most popular spirits in the country, following a sharp decline in demand due to the ploriferation of illicit alcohol.
According to government data, Konyagi output plunged from 33.287 million litres in...
Jana tarehe 14/ 09/ 23 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ametoa maamuzi yenye utata kwenye shauri la usuluhishi lililokuwa mbele yake. Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliishtaki kampuni hiyo wakiituhumu ubadhirifu wa mabilioni ya pesa za Mfuko wa Hisa za Wafanyakazi wake...
TBL tangazo lenu la Castle Light linasema "brewed at -2,9°c"! Sijui hii ni nini, TBL wenzetu mmesoma shule zipi? Mbona mnaifanya Tanzania ionekane ya watu wa kiwango cha chini kielimu, ondoeni hayo matangazo.
Kwa wanunuaji na wauzaji wa hisa; nielewesheni hisa za TCC and TBL zimelalaje for almost 2 years now when watu pombe na sigara Km kawa tu? Kuna nn hapo?
Ili kufikia lengo la kupunguza matumizi ya pombe hatarishi kwa asilimia 10 ifikapo mwaka 2025, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imezindua kampeni ya Mdogomdogo inayohamasisha unywaji pombe usiozidi kipimo ambao ni hatari kwa afya ya watumiaji.
Uzinduzi wa kampeni hiyo umekwenda sambamba na...
Amani ya Bwana iwe nanyi
Naomba kuuliza, hivi haya makampuni ya SBL, TBL, TCC KONYAGI na mengineyo huwa wanaapply vipi kazi hata kama hawajatangaza nafasi? yeyote mwenye insight please.
WAKUU NIMEJARIBU KUWATAFUTA MTANDAONI NIMEKOSA MAWASILIANO YAO
Nataka kuuza vinywaji vyao kwa jumla ila utaratibu siujui. Naomba mwenye kujua anifahamishe
Wakuu habari zenu,
Nataka kuanza biashara ya vinywaji, maandalizi yote tayari.
Naomba msaada kwenu wadau najua mna uelewa mpana wa haya mambo, hivi Kwa wingi wa creti ninazotaka kuanza nazo siwezi kuletewa na kiwanda Moja kw Moja mpaka nilipo au mpaka nipitie Kwa maagent wao?
KAMPUNI YA TBL YAKUBALI KUFATA MAELEKEZO YA SERIKALI
Dodoma, Tanzania.
Serikali imewahakikishia wakulima wa shayiri kupata soko la uhakika kwa kuiuzia moja kwa moja Kampuni ya Bia Tanazania TBL .
Akizungumza baada ya kikao chake na viongozi wa TBL kilichohudhuriwa na Naibu Waziri wa...
Matangazo mengi ya beer za TBL wanapewa watu wa Arusha. Hii kitu imekua inaendelea kwa muda sasa. Castle Lite wanawapo deals Weusi (wasanii kutoka Arusha). G-nako alifanya nyimbo kufanya promotion ya beer ya Kilimanjaro na pia alipewa ubalozi wa beer ya Kilimanjaro. Castle Lite Unlocks ya South...
Kuna bia moja ya TBL ninaipenda lakini iko kwenye ukanda fulani na haipatikani kwenye mkoa niliopo ambapo pia nina vibiashara vyangu vya kinywaji na ningependa kuiuza hapa.
Nilipomuuliza mmoja wa wahusika nikaambiwa hiyo ni ya ukanda huo tu hairuhusiwi kuuzwa nje ya ukanda!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.