bia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani?
Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo ulipo zinapatikana?
uongozi wa TBL tunaomba mtueleze kwanini bia zenu hazipatikani? sisi wateja wenu...