Moja ya Habari iliyotamba kwenye duru la michezo na kwenye mitandao ya kijamii nchini mwishoni mwa wiki ni klabu ya soka ya Simba kumpata Afisa Mtendaji Mkuu mpya mwanamke , Barbara Gonzalez.
Barbara Gonzalez, mbali na wadhifa huu mpya katika klabu hii kongwe ya soka nchini ni mfanyakazi wa...