team

  1. SWAT Team Movies/Seasonal Movies

    1. S.W.A.T.: Under Siege (2017) 2. 24 (2001–2010) 3. MI-5 (2002–2011) 4. The Shield (2002–2008) 5. The Wire (2002–2008) 6. S.W.A.T.: Firefight (2011) 7. S.W.A.T. (2017–2024) 8. Hawaii Five-0 (2010–2020) 9. Law & Order: Criminal Intent (2001–2011) 10. CSI: Crime Scene Investigation (2000–2015)...
  2. Round 6 CAFCL Team of the Week

    Hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Sofascore
  3. D

    Gamondi ana nipa wasiwasi na quality yake, I will do background check why he was fired in previous team

    Here are the reasons 1: Substitution: mzito, very late and bad substitution of players? 2 : guede issue : he is bad slow player who affect yanga energy, why ana mtaka I don't know? Why 90mins in egpty match? Why musoda off position? 3 : corruption: guede probably ana deal with Gamondi...
  4. Simba tusibabaishwe Team tunayo na uongozi tunao JWANENG GALAXY anakufa 4G Road To Semi Final.

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ila nyie kumtetea Mtu asiejielewa na ana makosa ya kujirudia ni kazi. Nimeshindwa kutetea uzi wenu wanasimba Njooni Mjitetee wenyewe😂😂😂 waiten wana simba wote waje naanza na hawa 😂😂 Kalpana Scars OKW BOBAN SUNZU
  5. Kila nikiona Yanga inacheza Match ya kimataifa hua inanikumbusha Fainali ya UEFA Msimu wa 2007/2008

    Ile Fainali ilikua Kati ya Manchester United vs Chelsea. Nakumbuka Fergie aliwaambia Wachezaji wake kua Nenden mkijua kua katika Fainali hii nyie ndio Mnachukiwa zaidi. Katika Fainali hiii nyie ndio mnaombewa kufungwa na watu wengi Dunian kote,Maana mmetawala sana kuanzia kwenye Ligi hadi...
  6. Accounts Team Lead at Kafika House February, 2024

    Position: Accounts Team Lead Key working relationships This role reports to our Business Manager and works closely with the Chief Operating Officer, all managers, and coordinators of our various facilities. Responsibilities Oversee day-to-day accounting operations Process payroll and...
  7. T

    Politics is a strategic minds set- game; upinzani unatakiwa uwe na watu wenye high level ya intelligence na uzoefu wa manipulative strategies

    Yes, politics is a strategic minds set- game; playing around the mind set of the target audience. The strategy is to capitalize on the weakness (udhaifu na ujinga), njaa, shida na manyanyaso ya target audience; hata kama baadhi ya vitu hivyo ni wewe umevisababisha, once you win their mind set...
  8. Msinielewe Vibaya: Nimeamua kujiunga na team "Kataa Ndoa"

    Mwaka 2018 nilimchumbia Mischana mmoja na nikafanikiwa kulipa mahari lakini baada ya muda nikasikia kuwa Kuna MWALIMU ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa. Nikafuatilia ili kujua kulikoni, mama mkwe akaniambia live kuwa yeye ndiye amemtafutia mwanaye mume mwenye kazi ya...
  9. Morocco National Football Team (The Atlas Lions) Special Thread

    MOROCCO NATIONAL FOOTBALL TEAM 🇲🇦 HONORS: Tafadhali, wenye elements za ubaguzi wapite pembeni, uzi huu hauwahusu!
  10. Morocco National Football Team (The Atlas Lions) Special Thread

    Moderator kuna thread mbili zimeniijia, naomba ufute hii ambayo haina chochote ndani yake
  11. Mpaka sasa Taifa Stars ndiyo Team Mbovu zaidi kwenye Afcon

    Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi. Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA, SIYO KUSIFIA TU
  12. M

    Kwa jinsi AFCON inavyokwenda, sitashangaa underdog team kunyakua taji hilo la Afrika mwaka huu

    Yaani nchi ndogo zimewaonesha wanaojiona miamba ya soka Afrika kuwa hakuna mwamba wa milele wote ni wachumba tu mbele ya underdog (team ndogo zisizo maarufu au kuonekana na uwezo wa soka). Timu kubwa kama Misri, Ghana, Tunisia, Cameroon zimegaragazwa na underdogs kama Namibia, Guinea, Msumbiji...
  13. Ni Match gani Ilikukosha kutoka Kwa Team yako ya Ligi kuu ya NBC Mwaka huu 2023?

    Habari wana Jukwaa La Michezo, Mwaka 2023 unakata huu, Tumetoka Mbali ulikua Mwaka wa Matukio Mengii ila Leo Naomba niwaalike wote hapa kukumbushana Ni Mchezo gani Kutoka kwa Team yako pendwa ya Ligi kuu ya NBC hutausahau. Ulikukosha ukakupa Raha. Ukafurahi ukaona Maisha ya Bongo ni kama ya...
  14. Team wydad tujuane hapa pls tupange mikakati ya kesho....

    Tukielekea uwanjan kesho naomba tm wydad tujuane. Mapema jamani Ntakuwa.kwenye kontena letuu pendwaa nyumaa ya.jezi ya wydad nimeandika pdidy Cya on time saa saba ntakuwa taifa napasha safari zetu nje kontena Adbest wydady Rgds. Pdidy
  15. CCM imeanza kampeni uchaguzi 2025. Jokate amuombea kura Samia, apiga magoti

    Jokate ambaye hivi karibuni akiwa amekaribia kufika miaka 40 amebahatika kupata mtoto bila ndoa rasmi, akiwa na mtoto ambaye haonekani kuwa na baba , na ambaye alikuwa msanii wa Muziki na movie maarufu kama Bongo movies, sasa akaingizwa kwenye siasa na kubebwa nafasi za kuteuliwa Katibu Mkuu wa...
  16. 2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

    Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii. Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti...
  17. S

    Kikosi bora cha team ya Taifa, Afrika nzima haijawahi tokea hii combination

    Hiki kikosi cha Super eagles ndio kikosi bora cha Muda wote. Algeria walijaribu kukaza mpaka nusu fainali ya WC ila ubora wao haujawafikia hawa jamaa Waulize Spain walivyokandwa kwenye world cup 1998.
  18. Team Leader at SNV November, 2023

    Position: Team Leader Contract type: National employment contract The Team Leader will assume the role of Sector Leader for Agrifood in SNV Tanzania, in which capacity he/ she will participate as a key member of SNV’s global agrifood technical team, and also represent the agrifood sector on the...
  19. B

    The Moroccan National Team Continues It's Preparations To Meet Tanzanian side

    19 November 2023 Dar es Salaam, Tanzanie Jijini Dar es Salaam timu ya taifa ya Morocco inaendelea na mazoezi ya utayari kukabiliana na timu ya Tanzania Taifa Stars المنتخب الوطني يواصل استعداداته للقاء تنزانيا https://m.youtube.com/watch?v=OUTYAaC_-Yk Timu hiyo ya Africa ya Kaskazini...
  20. Team Ndogo na Mbovu ambazo zimekutana na Kipigo Kizito Hadi saiv kwenye NBC Msimu wa 2023/2024

    Zifuatazo ni Team Ndogo zilizokula Kichapo Kikubwa Msimu huu wa NBC 2023/2024
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…