team

  1. C

    Team Magufuli vs Uteuzi wa Makonda

    Tangu aondoke JPM duniani hakuna team JPM ilikua na amani lakini nawahakikishia kila Team JPM leo moyo wake utalala na amani kubwa sana. Uteuzi wa Makonda Umeibua vigelegele na shangwe sio za kawaida mioyoni mwa Team JPM. Hakika Mama amejua kugusa Mioyo ya Watu, Kwa Shangwe hili sipati tabu...
  2. Naona Team XXL wameenda Rwanda kuwanga kweupe

    Naona Clouds media wametuma wawakilishi wao kwenda Rwanda Kigali kwenye usiku wa tuzo za Trace Music Awards Festival zinazofanyika hii leo. Clouds media kupitia team XXL naona wameshikilia sana bango hili suala ,yani haipiti dakika wameshampost Diamond Platnumz, ukifumba na kufumbua...
  3. M

    Assessment of the Role of Incident Management Team in Cybersecurity in Tanzania:The case of TZ-CERT

    Habari wadau watalaamu Ningependa kufahamu kama hiyo tittle and its content are 1. Researchable 2. Punctually Collect Maana nimeSubmit sehem mbili ambapo sehem moja imepokelewa vizuri wakati sehem nyingine imekataliwa kabisa kuwa imekosewa. NB: TZ-CERT (Tanzania Computer Emergency Response...
  4. HR & Admin Team Leader at Danish Refugee Council September, 2023

    Position: HR & Admin Team Leader Overall purpose of the role: DRC Tanzania has recently identified the need for further strengthening of its human resources functions, with an especial focus on strengthening the HR capacities in its offices in Kigoma region. Itโ€™s DRC ambition to attract and...
  5. D

    Congratulations Singida Fountain Gate FC, I'm impressed

    Singida Fountain Gate FC was amazing Leo. Despite the fact that wapo economically below the top 3. I I'm very happy for them. Congratulations to them. Good luck in Egypt.
  6. Assistant Team Lead at School of St Jude

    Position: Assistant Team Lead About Us The School of St Jude is a pioneering leader in charitable education within Africa. Every year we give 1,800 students with free, quality education, 100โ€™s of graduates with access to higher education and provide more than 20,000 government school students...
  7. Team Magufuli imerudishwa ili kufanikisha ushindi wa 2025 uwe kama wa 2020?

    Jembe lililoaminiwa na Magufuli kwenye madini,limepewa unaibu Waziri Mkuu,jembe lingine Mnyeti kapewa unaibu Waziri. Lakini je, watoto wa kambo watalipa fadhila hizo. Je, Bashiru kuchukua form ya urais CCM hata kama itampelekea kufutwa uanachama!? Je, top three inakubaliana kuhusu...
  8. Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

    Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria. Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo. Kanda ya Ziwa...
  9. Legacy ya Hayati Magufuli haitofutika mbele ya wanyonge ila bado hakuwa malaika, alikosea pia

    Moja kati marais ambao wanakumbukwa kwa miradi na kulinda maslahi ya wanyonge wa Tanzania ni hayati John Magufuli, huyu jamaa itachukua muda sana kuja kupata Rais kama huyu mchapa kazi. Nikiangalia jinsi nchi inavyotafunwa na wachache namkumbuka sana huyu mwamba, kwa sasa uzembe serikali...
  10. K

    Wanaharakati nendeni UAE kama team ya wataalamu kuomba mabadiliko ya mkataba

    Nashauri wadau badala ya kusubiri serikali kurekebisha mkataba nendeni moja kwa moja UAE na mapendekezo ya marekebisho. Na nina rudia UAE sio Dubai pekee maana tuna uhusiano na UAE kama nchi na sio Dubai. Lakini twende na mapendekezo kabisa ya marekebisho ya mkataba naamini kabisa wataaikiliza...
  11. R

    Hongera timu Wazalendo kwa ushindi wa awali. Tukutane Mahakama ya Rufaa๐Ÿ™๐Ÿ™

    Baada ya kusoma HUKUMU ya Leo, nimegundua kuwa team ya Wazalendo under MWAMBUKUSI imeshinda ushindi wa Awali ingawa referee ameonekana kuonyesha kuwa Hana uwezo wa Kutoa ushindi. Hoja zifuatazo ndizo zimenipa kuona ushindi wa team wazalendo: 1. Judge Ndumbari, Amekiri kuwepo dosari katika...
  12. Nikiwa kama Referee wa Team Yes DP World vs Team No DP World na Kesi iliyoko Mbeya nashauri Team Yes wawaige Azam FC walichofanya Tunisia jana

    Mpaka muda huu kwa Kesi iliyoko Mkoani Mbeya na inavyoendelea nawaona Team Yes DP World wanaenda Kufungwa ( Kushindwa ) vibaya mno na Kuumbuka. Ushauri pekee ambao GENTAMYCINE nautoa kwa Team Yes DP World huku nikiwana Team No DP World wanavyoupiga mwingi hawa ( Team Yes DP World ) wawaige Azam...
  13. Chose your best team member in JF

    Salaam wakuu, naamini kila mmoja ana watu ambao wamekuwa wakimpa kampani au kuichangamsha siku yake hapa JF Kiasi cha kutengeneza muunganiko baina yenu, kama team ya mpira au jeshi. Ambapo wakiwepo mna tengeneza vurugu au furahi day, kwa upande wangu nina team nyingi, ila hi ni imara zaidi...
  14. Tumedhihilisha Yanga ni Team kubwa sana Afrika

    Msimu ujao mtaumia sana. Faida mwaka huu tumepata tsh mil 500. Na mmeona matumizi yetu ni mabilion ya fedha.
  15. S

    CAF Confederation Cup Team Of the Season

    ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘
  16. Mnaosifia Simba kuwa ni team kubwa Afrika hamjui Mpira. Mnaijua Atletico Madrid ya Spain?

    Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia...
  17. Kwanini Rais wa Yanga anatembea na team kila kona?

    Najiuliza sipati jibu nikiwa kama mdau wa mpira ni kwanini rais wa Yanga kila timu inakoenda na yeye yupo?
  18. Vijana Tukatae ndoa

    Habari za usiku. Ndoa ni utumwa. Ndoa ni umasikini. Ndoa ni source ya mafarakano Ndoa ina leta chuki. Ndoa ni ubinafsi. Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa. Kijana KATAA NDOA FANYA MAISHA
  19. Hayati Magufuli kwanini alificha jalada la ununuzi wa ndege?

    Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi. Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege. Umewahi kujiuliza kwanini mamlaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu haikuwahi kutoa maoni yao juu ya ununuzi wa ndege? Taarifa zilizopo ni...
  20. CHADEMA njia pekee ya kushika dola 2030, unganisheni nguvu na team Magufuli

    Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa. Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ