The TEC Awards is an annual program recognizing the achievements of audio professionals. The awards are given to honor technically innovative products as well as companies and individuals who have excelled in sound for television, film, recordings, and concerts. TEC is an acronym for Technical Excellence and Creativity.
Upande mmoja wa Tanzania sasa ni rasmi mwaka mpya wa Dini fulani itakuwa ni siku ya mapumziko.
Sasa basi, kama imeweza kuwa hivyo ndani ya Tanzania, kwa nini TEC na Jumuiya ya Kikristu wasidai mapumziko nao siku ya mwaka mpya wa Kikristu?!
Kanisa la Roma kwa mfano, linao mwaka mpya wa Kanisa...
Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Kwenu baba zetu maaskofu.
Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo.
Baba zetu, siku zote Taifa letu linapokuwa katika mtanzuko mzito, hamjawahi kusita kusimama thabiti na kutoa muelekeo wenye kuponya ili kuwasaidia...
Katibu wa Balaza/ Baraza la Maaskofu Wakatoliki Tanzania amesema kupitia viongozi wasiowaaminifu wamewafanya wananchi wa Loliondo waishi maisha magumu kama wakimbizi ndani ya nchi yao, jambo ambalo halipaswi kurudiwa kutendwa na viongozi.
Padre Kitima ameonya huenda mkataba huu wa bandari nao...
Padre Dkt. Charles Kitima amesema nchi inahitaji kuweka wazi ripoti za mapato na kazi inazozifanya zinazogusa maisha ya watu ili kuwezesha wananchi kupima na kuiwajibisha Serikali na si wabadhirifu pekee.
Pia, Katibu Mkuu huyo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ameeleza kuwa wananchi...
Kwa mfano Kanisa Katoliki wao Mkuu wa Kanisa ni Papa na kila Dayosisi inajitegemea chini ya askofu wake aliyeteuliwa na Papa.
Ila kuna Rais wa baraza la maaskofu (TEC) yeye hutokana miongoni mwa maaskofu lakini hana nguvu kwenye shughuli za kila Dayosisi.
Anglican wao Askofu mkuu anaingia hadi...
Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndiyo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na Ask Shoo na Bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa Kanisa Katoliki wakikemea mauaji aliyofanya Sabaya au Makonda zaidi ya kumsifia Makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya JPM kupitia kwa Kardinali Pengo...
Tangu kale, tangu enzi za manabii, Kanisa lilisimama katika ukweli, lilifundisha, lilikemea na kuwaonya watawala dhidi ya dhuluma. Mifano ipo mingi.
Muelekeo huo wa Kanisa uliwaongezea imani kubwa waumini, wasio waumini na hata watawala waliheshimu sana kauli za Kanisa kwa sababu waliamini kuwa...
Katibu mkuu wa TEC ya Marekani ama baraza la maaskofu katoliki wa Marekani amejiuzuru wadhifa wake baada ya kugundilika kua ni shoga.
Askofu huyo amegundulika kua ni shoga baada ya taarifa kuibuka kua yeye hua ni mhuzuriaji mzuri kwenye bar za mashoga nyakati za usiku na pia amegundulika...
Wana JF,
Nimeona sehemu wakuu wa vitengo kidini wakijitetea kupunguziwa kodi wakijinasibu kuwa wanasaidia sana kwenye sekta ya elimu, kumbe ndio wanyonyaji wakubwa.
Kwa sasa shule za Romani na KKKT ni ghali mno. Kuna shule zilianzishwa kama za kusomesha watoto yatima lakini zimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.