Tangu kale, tangu enzi za manabii, Kanisa lilisimama katika ukweli, lilifundisha, lilikemea na kuwaonya watawala dhidi ya dhuluma. Mifano ipo mingi.
Muelekeo huo wa Kanisa uliwaongezea imani kubwa waumini, wasio waumini na hata watawala waliheshimu sana kauli za Kanisa kwa sababu waliamini kuwa...