Virginia Tech (formally the Virginia Polytechnic Institute and State University and informally VT, or VPI) is a public land-grant research university with its main campus in Blacksburg, Virginia. It also has educational facilities in six regions statewide, a research center in Punta Cana, Dominican Republic, and a study-abroad site in Riva San Vitale, Switzerland. Through its Corps of Cadets ROTC program, Virginia Tech is a senior military college.Virginia Tech offers 280 undergraduate and graduate degree programs to some 34,400 students. It manages a research portfolio of $522 million, placing it among the top 50 universities in the U.S. for total research expenditures, top 25 in computer and information sciences and top 10 in engineering, with the latter two the highest rankings in the state. It is classified among "R1: Doctoral Universities – Very high research activity". As of 2015, Virginia Tech was the state's second-largest public university by enrollment.VT has produced two Rhodes Scholars, four Marshall Scholars, 38 Goldwater Scholars, and 131 Fulbright Scholars. Among its alumni are eight Medal of Honor recipients, 97 flag officers, governors of two U.S. states, two astronauts, and one billionaire. Three Nobel laureates and one MacArthur Fellow have received a degree or served as faculty members at the university. As of 2015, VT had more than 240,000 living alumni worldwide.The university's athletic teams are known as the Virginia Tech Hokies and compete in Division I of the NCAA as members of the Atlantic Coast Conference.
Ninauweka wakfu uzi huu kwaajili ya ku-share mambo yanayohusiana na uvumbuzi, sayansi, teknolojia, na nature
leo naanza na hii
Sungura wa California wameanza kula nyama: utafiti mpya unaonyesha kuwa wanakua wawindaji
Katika mabadiliko yasiyotarajiwa ya asili, sungura wa California...
Wakuu nauliza tu!!
Kulingana na dunia inavo enda Tech giant zinapewa pesa na serikali zao kusambaza ajenda na maslahi ya nchi zao!!
Tanzania tuna ajenda nyingi ambazo tunaweza kuzitumia tech zetu hata kama ndogo kuadvance kwene uso wa dunia
Mfano ni hii JamiiForums ambayo mizizi yake ni hapa...
Dar es Salaam, 16 Januari, 2025 - Tech & Media Convergency (TMC) Inapenda kuwatangazia ushirikiano wake na Idara ya Serikali ya Marekani (Ubalozi wa Marekani, Dar es Salaam) katika kuzindua Mradi wa kimapinduzi ya Tanzania Digital Collaboration."
Programu hii ya kibunifu unalenga kuimarisha...
Huawei wakiwa wameungana na JAC wamezindua gari yao ya kwanza inayoenda kwa model name Maextro, ikiwa na lengo la kushindana na Maybach na Rolls.
Kuhusu bei, itauzwa kuanzia $140,000 tu, na ndio itakua gari ya bei kali kuliko zote kutoka China hadi leo.
MKBHD kila siku ziendazo mbele anazidi kuyatimba.
Juzi alikua ana review camera ya DJI Action 5 Pro akaonekana anaendesha Porsche zaidi ya 90 mph kwenye kibao cha School zone 35mph.
Mashabiki wamemuwashia moto hatari.
Hapo issue yake ya App ya Pannel ambayo ni App ya Wallpapers...
1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???
2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum??
3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia...
✅35*0000*11# Hii code inazuia simu zote zinazoingia ama zinazopigwa kutokea mtandao wowote, Kutoa Piga #35*0000*11#
✅*33*0000*11# Hii ni code kwaajili ya kuzuia simu kutoka au kupiga, hii nzuri unamsetia mtoto au mdada wa kazi au yoyote anaependa Kuongea na Simu Usiku, Kutoa Piga #33*0000*11#...
Naombeni ushauri chuo gani kizuri kwa kozi ya ICT kati ya vyuo hivyo hapo kwa level ya degree!. Chuo kizuri kwa kozi ya ict kati ya must, arusha tech na ardhi
Niliweka uzi huu jujwaa la biashara ila audience yake nilivyoiona ina mwamko mdogo wa mambo ya tech, nimeona niwaletee watu wa tech.
Ni biashara ambayo huwa naifanya kipindi ambacho game ya mpira toleo jipya likitoka, silaha kuu ni kujitahidi kuwa mtu wa mwanzo kabisa kumiliki mali, inasaidia...
N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin.
habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas
Nipo mazingira ya mjini
binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles
Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku,
niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa...
Internship for Tanzania Private Sector Strengthening Project
The USAID-funded Feed the Future Tanzania Imarisha Sekta Binafsi (Private Sector Strengthening) project in Tanzania, implemented by Tetra Tech International Development (International Development Jobs – Tetra Tech), is currently...
Karibu katika safari ya kujifunza kutengeneza android app yaani App za simu za Android, Kujifunza Taaluma hii kuna umuhimu wa mtu kuwa na uelewa wa nini anaenda kufanya na kwa nini.
Elimu hii ni moja kati ya elimu ndani ya software development, kwa hiyo kwa kutekeleza mafunzo haya ya...
Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung.
Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani.
Kuna jamaa angu anatumia samsung nilimtumia picha ya view once yy hakuweza kuis screenshot wala kuihifadhi! hapo...
wakuu habar zenu?
Teknolojia ya eSim imetukomboa sisi ambao tunamiliki line zaidi ya moja za mitandao tofauti, hii teknolojia nimeipa maua yake aisee.
Zaman nilikua nahangaika na kubadilisha line kwa kitochi lakin sasa hivi naenjoy,nimesajili line zangu zote kwa eSim,ambapo nikiamua line gan...
Ushawahi kusikia watu wanaolipwa kwa kutazama na kureview maudhui ya mtandaoni? Ushawahi kutamani kupata kazi ya aina hiyo?. Je vipi kuhusu faida na hasara zake? shuka nayo
Mapema mwishoni mwa mwaka jana nilipata kazi kwenye moja ya jukwaa la freelancing ninalolitumia kwa kipindi kirefu.Wakati...
Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites.
Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi?
Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani?
Gharama za mafunzo zinaweza gharimu kiasi gani cha pesa na muda unaweza kuchukua...
Aisee
Hii series nimekua recommended na moja ya jamaa yangu
Nimemaliza kuangalia pantheon S02 itoshe kusema ukiachana na mr robot hii animation series kutoka studios za amazon prime ni kali
Kiufupi hii series inaongelea UIs (Uploaded Intelligence) na CIs hii ni mbali zaidi ya AI...
C.E.O wa kampuni ya kiteknolojia ya kimarekani Intel inayo husika na utengenezaji wa semiconductor anasema nchi ya China bado ipo miaka kumi nyuma katika teknolojia ya utengenezaji wa Chip na itabaki kuwa hivyo.
Skip to main content
Open menu
Intel CEO Gelsinger says China is ten years...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.