PC yangu mbona kama umeiwasha unatumia halafu ukaicha kwa muda kidogo ikiwa monitor screen ipo "on" baadae inazima ila mashine inavuma sasa ukirudi ukabonyeza keyboard yoyote ili iwake na kudisplay kama ulivyoiacha haiwaki yani mpaka utumie power button tena uizime moja kwa moja halafu ndio...
Wanajamii Tech ningependa kujua jinsi ya kuwa software developer kwa kujifunza mwenyewe I mean language (s) course, resources n.k
Pia kwa hapa nchini naona community iko ndogo Sana sijui ndo kuwa kwenye Giza au la madeveloper Sion hata community hakuna sijui imekaaje hapa.
Okay turudi kwenye...
Doreen Bogdan-Martin has become the first woman to be elected as secretary-general of the International Telecommunication Union (ITU).
The ITU is the main technology agency within the UN.
Originally founded in 1865 to manage the first international telegraph networks, the ITU now has an...
Umeshawahi kusikia maneno credit cards na debit cards? Inawezekana umekutana nayo katika mitandao ya kijamii, umesikia rafiki/ndugu wakiyatamka au kuyasikia kwenye movie, hasa movie za Marekani. Kama umewahi kusikia, huenda unafahamu kwamba huwa zinatumika kufanya malipo mtandaoni. Wazungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.