technology

  1. Blockchain Technology Opportunities

    Huu ndio ulimwengu ambao umebeba Utajiri usipsahaulika ukimiliki Hatimiliki zake... Teknolojia ya Blockchain ni ulimwengu kamili ambao unajitegemea kama unataka kujifunza inatakiwa uuzurie Meeting tunazozifanya kwakupitia Google Meeting na Zoom Meeting Tambua juu ya Metaverse, NFTs...
  2. Discoveries, Science, Technology and Nature

    Ninauweka wakfu uzi huu kwaajili ya ku-share mambo yanayohusiana na uvumbuzi, sayansi, teknolojia, na nature leo naanza na hii Sungura wa California wameanza kula nyama: utafiti mpya unaonyesha kuwa wanakua wawindaji Katika mabadiliko yasiyotarajiwa ya asili, sungura wa California...
  3. Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

    Habari wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Kanisa letu lina utaratibu wa kufuata kalenda ya mwaka, ni jambo zuri, Lakini kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya vitu ili kuendana na dunia ya leo Usomaji wa matangazo ya week, Kwa dunia ya...
  4. Kutokana na maendeleo ya Technology ni muda muafaka wa makanisa kuendana na wakati

    Habari za muda huu wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kumekua na utaratibu wetu wa kufuata taratibu na kalenda ya kanisa inavyotaka, ni kitu kizuri sana, lakini naona kuna haja ya kuendana na mabadilko ya technology ilikua kuokoa muda Mfano 1)...
  5. How My BSc in Physics Solves Real-World Problems in Education, Technology, Industry, and Medicine

    Greetings, Jamii Forums community! As a BSc Physics with Medical Physics graduate, I have developed a strong foundation in problem-solving, critical thinking, and technical expertise, allowing me to contribute effectively in diverse fields such as education, technology, industry, and medicine...
  6. K

    Diploma in operation theatre technology naomba kujua nkitaka kusoma kwa tanzania naenda chuo gani

    Diploma in operation theatre technology naomba kujua nkitaka kusoma kwa tanzania naenda chuo gani
  7. Ubora na utendaji wa hii upoje?

    Habari wanajukwaa Nahitaji kununua laptop kwaajili ya mambo yafuatayo Kufanya basic coding kwa kutumia HTML,PHP,Javascript,C# Kutumia application za Adobe kama Lightroom,InDesign, na Photoshop Kutumia App za Microsoft kama MS Excel,Word; na Libre Office HP Elitebook 840 G6 (Refurb) nimeona ndio...
  8. Mtu aliyemaliza Diploma ya Uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science?

    Hello Naomba kuuliza mtu aliyemaliza diploma ya uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science au IT Asanten.
  9. A

    KERO Ucheleweshaji wa pesa za refund Mbeya University of Science and Technology (MUST)

    Hii changamoto imetokea tangu mwaka 2022 ikatulazimu tuendelee kusubiri maana bado tulikuwa tunasoma , hivyo hela iliyokuwa imezidi ikawa inatumika kwa michango mingine kama direct cost na tuition fees hii haikupelekea hiyo hela iliyozidi kutokana na uongezewaji wa Ada kipindi ambacho Sisi...
  10. N

    Austin ict technology

    We are providing best ICT services
  11. A

    KERO Wanafunzi DIT hatujasajiliwa wiki ya 7 sasa tokea chuo kifunguliwe kwa kisingizio cha ubovu wa mfumo

    Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una changamoto, na tunapojaribu kufuatilia pengine ikibidi kwenda kwa watu wa system hawaji hata ofisini...
  12. Wadau tuambiane hapa simu gani nzuri inauzwa kwa bei ndogo

    Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi ya mtandao,kamera,memory,housing nk.?
  13. Kwanini Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel

    Wahindi wengi wanaikubali Sana Israel. Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel. Wanaikubali Sana Israel. Kumbuka India ina watu 1.4 billion na Israel 10 million lakini wako obsessed Sana na Israel. Cha ajabu tena wahindi wengi sio wakristo. Wengi ni Hinduism.
  14. Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

    Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
  15. 14 Job Vacancies at Mbeya University of Science and Technology (MUST)

    Mbeya University of Science and Technology (MUST) is seeking qualified candidates for various academic positions. Below are the available job postings: Post: Assistant Lecturer – Health Informatics – 1 Post Employer: Mbeya University of Science and Technology (MUST) More Details Application...
  16. K

    Iran contribution to world technology development

    Watu wengi wanauliza mchango wa kobaz wakijumlisha watu wa mashariki ya kati katika mchango wa teknolojia duniani. Nawaletea makala kuhusu mchango wa Iran katika maendeleo ya teknolojia duniani. Baada ya Iran zitafuata nchi zingine za mashariki ya kati. stormryder ward41 Bams dudus and 100...
  17. R

    Wajuzi nielimishe: Kuna tofauti gani kati ya Youtube na TikTok katika technology wanazozitumia, nani alimuigilizia mwenzake

    Mfano magari yote yanatumi carnot cycle invention! Mengine yote baada ya carnot cycle invention, I can call it Industrial designs tu ndizo tofauti! Sasa hawa Youtube na Tiktok wanatofaunian namna gani technologywise!
  18. Ordinary Diploma in Laboratory Science and Technology

    Habari wakuu naomba msaada mwenye ufahamu na kozi ya laboratory science and technology kwenye upande wa fursa baada ya kuhitimu, pia ningependa kujua changamoto zake baada ya kuhitimu
  19. M

    Kati ya science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili?

    Hivi Kuna tofauti kati bachelor of science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili
  20. Msaada wa technology

    Habari, Naitaji mtaalamu anayejua kutengeneza website na aka unda mfumo wa hosting reseller..... Nitext WhatsApp 0678650509
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…