tekeli na peresi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mene, Mene, Tekeli na Peresi": Maandishi Ukutani Kuhusu Nyufa na Ugomvi wa Ndani ya CCM

    Mpasuko was chinichini na wa ndani kwa ndani huko CCM kwa sasa unaashiria mwanzo wa dhoruba kubwa ya kisiasa. Kutumia mfano wa kibiblia wa "Mene, Mene, Tekeli na Peresi," ni wazi kuwa "maandishi yapo ukutani" yakionya chama hicho tawala dhidi ya athari za migogoro ya ndani, makundi ya urithi wa...
Back
Top Bottom