telaviv

  1. Webabu

    Siku kadhaa kupita bila majibu baada ya TelAviv kudundwa na ballistic kutoka Yemen kuna ujumbe mzito.

    Siku droni ya houthi ilipoweza kupenya mpaka TelAviv na kupiga jengo liliosababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi kadhaa,papo kwa papo asubuhi yake tukasikia bandari ya Hodeida imeshambuliwa. Kwa shambulio la ballistic hapo juzi na kupita siku mbili bila majibu kuna mambo mengi ya kujiuliza...
  2. Webabu

    Sinwar aandika barua ya pili ya pongezi. Hii ni ya kuwapongeza Houth kwa kufikisha ujumbe Tel Aviv

    Barua ya kiongozi wa Hamas iliyopatikana na televisheni ya Houth imewapongeza wapiganaji wenzao wa Houth kwa kuweza kufika mpaka ndani kabisa ya Israel.Barua hiyo aliielekeza kwa kiongozi mwenzake wa kundi la Houth ajulikanye kwa jina la Abdelmalik Alhouth. Katika barua hiyo ambayo ni ya...
  3. kimsboy

    Hofu yatanda Telaviv watu wanakimbia hovyo

    Watu wameanza kuondoka kwenye majengo marefu!! Barabara zimekua nyeupe kabisa watu wapo mashimoni Yajayo yanasikitisha Kichapo kitakachoshuka hapo Telaviv itabaki kuwa kwenye rekodi #BREAKING: Israel’s Kann Channel reports increasing fear in Tel Aviv. The streets are nearly empty of cars...
Back
Top Bottom