telegram

  1. Technophilic Pool

    ivi hii telegram ndo imekufa mbona hai respond tangu january?

    Jamuhuri ya telegram Kila nikifungua inaandika updating na haijawai kumaliza
  2. stabilityman

    Nauliza mbona Telegram haifanyi kazi kwangu

    Wakuu, Naomba msaada, kwa nini Telegram haifanyi kazi kwangu? Wenye uelewa tafadhali nisaidieni.
  3. Mwachiluwi

    Msaada wajuzi wa simu na telegram

    Kuna kitu nataka kuangalia hapa sasa inaonyesha ivi kama unajua nielekeze hapa au kama hapa uwezo pm iko wazi msaada
  4. Morning_star

    Hivi mtandao wa telegram bado umefungiwa Tanzania au vipi? Maana muda sana siupati! Kulikoni?

    Huu mtandao wengi walikuwa wanautumia kwasababu za ngono! Lakini kwa wanaodeal na kutuma package za picha kubwa ulikuwa mzuri! Hapa kwangu ni zaidi ya miezi kama 6 hivi siupati!
  5. A

    Telegram book bot

    Wakuu naombeni msaada wa Best Telegram Book Bots 🤖, kidgo nachemka apa
  6. R

    Kuna aliyekutana na GALAXY LADY wa Telegram!!!!

    Habari Kuna mwanadada mmoja anajiitwa Galaxy lady username telegram ni santie360. Wadau kama umewahi kukutana nae naomba taarifa zaidi yupp na umemuonaje.
  7. Mindyou

    Kenya yaripotiwa kufungia mtandao wa Telegram ili kuzuia udanganyifu kwenye mitihani

    Shirika la Netblocks, hivi karibuni limeripoti kuwa, kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imezuia upatikanaji wa app ya Telegram kwa wateja wake walioko nchini Kenya. Netblock imedokeza kuwa Safaricom ambayo ndio kampuni kubwa ya mawasiliano nchini Kenya – imezuia upatikanaji wa Telegram nchini...
  8. E

    Tazama maneno ya Pavel Durov mmiliki wa Telegram baada ya kuachiwa

    ❤️ Thanks everyone for your support and love! Last month I got interviewed by police for 4 days after arriving in Paris. I was told I may be personally responsible for other people’s illegal use of Telegram, because the French authorities didn’t receive responses from Telegram. This was...
  9. E

    Je nini sababu haswa ya mtandao wa Twitter / 𝕏 na telegram kufungiwa Tanzania?

    Mtandao wa 𝕏 umefungiwa Tanzania week hii wadau kwanini serekali inafanya hivi au ndio wanataka censorship? Hii imeleta picha kuwa Tz is against free speech
  10. 650

    Mbona Telegram haifunguki?

    Wakuu habar za muda huu? Leo kila nikijaribu kufungua telegram inafunguka lakini inaandika connecting halafu haifunguki. Je, kuna mtu nae kwake inazingua kama hivi? Ningependa kujua
  11. J

    CEO wa Telegram ana watoto zaidi ya 100 ana miaka 39

    Durov CEO wa Mtandao wa Telegram Alikamatwa na kunaripotiwa kuhusiana na kutodhibitiwa kwa kutosha kwenye Telegram. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisema Jumatatu kwamba kukamatwa kwa “haukuwa uamuzi wa kisiasa kwa vyovyote.” Msemaji wa polisi alifafanua kuwa uchunguzi unahusu Telegram...
  12. BUSH BIN LADEN

    Mwamba Pavel Durov, Wanazi Wa Telegram Tuko Nyuma Yako, Ila Ukienda Na Hii English Mahakamani, Lazima Wafaransa Wakufunge.

    https://www.jamiiforums.com/threads/ceo-wa-mtandao-wa-telegram-pavel-durov-akamatwa-katika-uwanja-wa-ndege-nchini-ufaransa.2249872/
  13. Candela

    Wameblock telegram? Bila VPN haifanyi kazi

    Kwa tupangieni content na sio na watu wazima? Kisheria mtoto harusiwi kuwa na simu sasa kutuzimia huduma maana yake nini? Kama wanahofia watoto wana simu hayo waachie wazazi wao.
  14. winnerian

    Pre GE2025 Telegram Messenger ina shida Tanzania hadi utumie VPN

    Kwanini wamefungia telgram hasa?
  15. buyoya419

    Kama ulichelewa kwenye Dogs Coin Airdrop basi kuna hizi nyingine soon zinakuwa launch cats and major zipo chini ya Telegram

    Jitihada zako ndio zitakupa faida kama zilivyowafaidisha waliokuwa na Dogs coin Airdrop Link hizo hapo chini click then start anza kukusanya coin https://t.me/major/start?startapp=474175254 http://t.me/catsgang_bot/join?startapp=CeU2qhnwz88jYNeUJJYN8
  16. Kaka yake shetani

    Telegram: Ukweli Kuhusu Usalama na Shughuli Haramu

    Telegram ni jukwaa maarufu la ujumbe linalotumiwa na zaidi ya watumiaji milioni 950 duniani kote. Ni maarufu kwa sababu ya uwezo wake wa kutoa ulinzi wa faragha kupitia mazungumzo yaliyosimbwa kwa njia fiche (encryption), ingawa ulinzi huu hauwashiwi moja kwa moja na hauhusishi mazungumzo ya...
  17. P J O

    Mtandao wa Telegram Tanzania una shida gani?

    Wadau natumai mko vizuri. Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote. Telegram, imekuwa inaload tu Kwa siku ya nne sasa, kuna Nini kinaendelea?
  18. Mwl.RCT

    The Arrest of Pavel Durov: Implications for Telegram and Digital Freedom

    https://www.youtube.com/watch?v=li0oC_0cIKI The recent arrest of Pavel Durov, the enigmatic billionaire behind the messaging app Telegram, has sent shockwaves through the tech world and beyond. Known for his minimalist lifestyle and iconoclastic views, Durov now faces serious charges in France...
  19. quantumania

    CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov akamatwa katika uwanja wa ndege nchini Ufaransa

    Kukamatwa kwa Pavel mmiliki wa mtandao wa Telegram pengine kumepelekea mtandao huo kuwa slow sana na wakati mwingine mpaka utumie VPN .Vip inaweza kuwa sababu hiyo ?? Wajuzi wa mambo mtujuze:::: Updates CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov (39) amekamatwa katika kiwanja cha ndege nchini...
  20. Bull Striker

    Kupakua Move na Content mbalimbali kupitia TELEGRAM

    Wakuu naomba kujuzwa namna Bora ama mbinu wezeshi Kwa ajili ya kuipata Move katika Telegram App. Maana Telegram ni mtandao mpana.So hata ikibidi tupeane ma ujuzi. Na wasilisha Kwa hatua.
Back
Top Bottom