Wengi wetu tuko vyema tukisubiria Mama arudi kutoka Doha na ndizi mkate mkononi.
Ni hivi, baada ya Whatsap kutuletea mfumo wa Chanel ili kuturahisishia Biashara na mengineyo.
Basi uzi huu uwe wa kujuzana Chanel mbalimbali katika kupeana Ladha ya hii huduma mpya.
Chanel hizi ziwe za maono na...
Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Mitandao hiyo pamoja na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya 1XBET zimebainika kutumiwa na Magaidi pamoja na kueneza Uasherati kupitia Picha na Upotoshaji katika Jamii.
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia iliagiza watoa huduma za Intaneti kutekeleza marufuku...
Serikali ya Iraq leo Agosti 6, 2023 imetangaza kuwa inasitisha matumizi ya mtandao wa kijamii wa Telegram kote nchini kwa misingi ya kulinda "usalama wa taifa", hali iliyosababisha ukosoaji kutoka kwa vituo vilivyo karibu na mirengo inayoiunga mkono Iran.
Huduma hiyo imezuiwa leo ambapo...
1. Kubadili table zilizopo kwenye hardcopy pamoja na zile ambazo zimeandikwa kwa mkono kuwa csv format
Sasa unaweza ku_convert table data ambazo zimeandikwa kwa mkono au ziko scanned kwenda kwenye csv format kwa kutumia https://t.me/wagptbot
piga picha data zako kisha zitume kwa...
Habari ndugu!
Natambulisha kwenu AI bot ya Telegram ambayo inaweza kushiriki kwenye mijadala mbalimbali ya groups za Telegram:
Faida za bot hii:
Kwa wanafunzi/wanachuo ambao wana_group za discussion kwenye Telegram watapata fursa ya kupata mchango wa moja kwa moja kutoka kwa bot pale ambapo...
Nimekuwa nikitumia account yangu ya Telegram lakini hivi karibuni wamenizuia kupost kwa groups lakini kutuma kwa individucal ambao nime save namba zao hakuna shida. Tatizo ni kwa groups, ukitaka ku-post chochote inakuja SMS inasema sorry, you are currently restricted from posting in this group...
Wakuu amani iwe kwenu!
Nime-stack kidogo. Ninataka kuhamisha contacts zangu zilizo kwenye telegram kuja kwenye simu au kwenye Gmail account yangu. Inafanyika vipi?
Nimehangaika pasi na mafanikio.
Asante.
Wakuu habari za Jumapili? Kwangu si njema hata kidogo ila nina Imani Kila mmoja ni buheri wa afya.
Nisiwachoshe sana ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika kuhusu yaliyonikuta japo imekuwa ghafla sana kinyume na mategemeo yangu
Ni hivi, mwaka 2019 baada ya kuona mahusiano niliyokuwa...
Dah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana, sasa najiuliza how ameweza jiunga halafu ni mtu anaheshimika sana
Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae
Mwaka fulani nikiwa Dodoma nikashikwa na nyege kali kutokana na baridi kali ya June. Nikauchek mchepuko unaojielewa ukabana. Nikachek marafiki wapenda pombe ili niwanyweshe niwakabili kimasihara, sikufanikiwa.
Mpaka kufikia saa 4 jitihada zikagonga mwamba. Nikakumbuka uzi wa Telegram JF...
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS na Jeshi la Polisi.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe, tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na siyo iendelee kutumiwa...
Shahidi wa Jana wa jamuhuri kwenye kesi ya Mbowe, alisema aliweza ku-hack Telegram ya Mweshimiwa Mbowe na Kina Urio.
Kupitia ku-hack Telegram aliweza kusoma meseji za Mbowe na kuona wanavyopanga ugaidi.
Toka kuanzishwa kwa Telegram hakuna binadamu yeyote ashawahi hack- Telegram, serikali ya...
Wakuu salaam
Telegram binafsi naikubali sana hasa kwa upande wa movie matumizi yangu kwenye telegram, 85% kudownload movie , 10% Music na 5% kuchati (Sina wadau wengi wanaotumia telegram)
To the point
Kuna kitu bado sijaelewa kama telegram wanawalipa Hawa users wake hasa wanao miliki channel...
Wadau habari naomba kwa wale wazoefu wa telegram wanisaidie link nzuri za habari na matukio za ndani ya nchi hata za nje ya nchi na ya michezo hasa ligi ya hapa kwetu.
Asanteni.
Salaam wakuu. Nikifungua App yangu ya Telegram sehemu ya Msg nakuta Screen imegawika katikati kati ya Chat na Contacts kitu ambacho mwanzoni hakikuwepo, ilikuwa nikifungua nakuta Chats tu, sasa je nawezaje kuondoa hizo Contacts zisionekane chino ya Chats? Msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia...
Mapema wiki hii, programu tumishi ya mawasiliano ya WhatsApp ilianza kutoa taarifa kwa watumiaji wake wa Android na iOS kuhusu mabadiliko ya sera ya matumizi na sera ya faragha, ikiwafahamisha wateja wake kuhusu jinsi mtandao huo utakavyomudu taarifa binafsi za watumiaji wake.
Sera hizo mpya...
Kwa wale wanaopenda kuboost account zao za instagram kwa personal uses au biashara unaweza kutumia telegram kutimiza lengo lako.
Pitia hapa kidogo
"
Also known as Telegram Pods, Telegram Groups, or Instagram Engagement groups, basically they are a group of people in a chat, created...
Messaging app, Telegram has launched one-on-one video calls for Android and iOS. The company announced the new development noting that 2020 had highlighted the need for face-to-face communication.
Telegram announced the news through a blog post which also celebrated its seventh anniversary. To...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.