Wadau natumai mko vizuri.
Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote.
Telegram, imekuwa inaload tu Kwa siku ya nne sasa, kuna Nini kinaendelea?