Wakuu salaam
Telegram binafsi naikubali sana hasa kwa upande wa movie matumizi yangu kwenye telegram, 85% kudownload movie , 10% Music na 5% kuchati (Sina wadau wengi wanaotumia telegram)
To the point
Kuna kitu bado sijaelewa kama telegram wanawalipa Hawa users wake hasa wanao miliki channel...