tembo

Tikki Tikki Tembo is a 1968 picture book written by Arlene Mosel and illustrated by Blair Lent. The book tells the story of a Chinese boy with a long name who fell into a well. It is a sort of origin myth about why Chinese names are so short today. The book is controversial because it appears to retell a Japanese story and because it does not portray Chinese culture accurately.

View More On Wikipedia.org
  1. Poppy Hatonn

    CHADEMA wanapaswa kwenda Butiama kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Kwa vile CHADEMA wapo Mara, ingefaa kama wangekwenda kulizuru kaburi la Mwalimu. Kwa sababu inafaa kama watu wanafanya shughuli za kisiasa Mara wapite kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Watanzania,waende kwanza kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Foreigners...
  2. R

    Mbaroni kwa kukutwa na kichwa cha tembo kikiwa na meno yote

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na Askari wa Uhifadhi kutoka hifadhi ya Taifa Ruaha wanamshikilia Cyprian Kasula miaka 42, mkulima na mkazi wa kijiji cha Kipera kwa tuhuma za kukutwa na kichwa cha Tembo kikiwa na meno yote mawili katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha. Akizungumza na...
  3. Nanyaro Ephata

    Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

    Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu. Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni...
  4. JanguKamaJangu

    Kenya: Ukame waua Tembo 205 ndani ya miezi 10

    Mbali na Tembo pia kuna Wanyamapori wengine wamekufa kati ya Februari hadi Oktoba 2022, ikiwa ni rekodi mbaya ndani ya miaka 40 iliyopita katika tasnia ya Utalii Nchini humo. Licha ya kuwa mvua zimeanza lakini Idara ya Hali ya Hewa ya Kenya imetabiri kuwa mvua zitakuwa ni chini ya wastani kwa...
  5. A

    Tembo 170 kupigwa mnada Namibia

    Tembo 170 watapigwa mnada nchini Namibia kwa kile kilichobainishwa kuwa ni adha ya kuongezeka kwa ukame huku kukishuhudiwa ongezeko kubwa la tembo nchini humo. Hii sio mara ya kwanza Namibia inauza wanyama kwa mnada, ambapo msimu wa kiangazi inaelezwa kuwa kunatokea mgogoro kati ya wanyama na...
  6. Roving Journalist

    TAWA wafafanua kuhusu habari ya Tembo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii

    Mamlaka ya ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) wafafanua kuhusu ongezeko la Tembo baada ya kunukuliwa vibaya. Ongezeko la Tembo halihatarishi maisha ya Watu na Mali. Uwindaji hufanywa kwa mjibu wa Sheria na Sera ya Wanyamapori ya 2007. Zaidi, soma...
  7. NostradamusEstrademe

    Ushauri kwa serikali kuhusu tembo waharibifu

    Jana nimefungua facebook nikaona mkurugenzi mmoja wa wanyama pori ametoa wazo kuwa serikali itoe kibali tembo wanaoharibu mazao kwa sasa wauwawe. Mimi kama mzalendo sikubaliani na wazo hili kwa sababu tutakuwa tunatatua tatizo moja tunaunda lingine.Tutajenga mawazo mabaya kwa majangili kuwa...
  8. Pfizer

    TAWA: Ongezeko la Tembo ni hatari kwa maisha na mali za watu, Mamlaka iruhusu Uvunaji wa Pembe kwa faida ya Nchi

    Imeelezwa kuwa ongezeko la Wanyamapori Nchini limekuwa chachu ya kuwa na ongezeko la ushawishi wa ujangiri, uvamizi wa maeneo ya Wananchi ambapo humesababisha uhasama kati ya mamlaka za Serikali na Wananchi. Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wananyamapori Tanzania (TAWA)...
  9. JanguKamaJangu

    Ripoti ya TAWA: Vifo vya Tembo vimepungua Nchini

    Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wananyamapori Tanzania (TAWA), Mabula Misungwi Nyanda amesema matukio ya vifo vya Tembo yamepungua kwa asilimia kubwa Nchini. Mabula Misungwi Nyanda Nyanda amesema kuimarika kwa ulinzi kulikochangiwa na kuongezeka kwa vitendea kazi...
  10. Gladie Sephania

    SoC02 Wapiganapo tembo nyasi huumia

    Yapata majira ya jioni siku ambayo bibi yangu alirejea toka kazini akiwa na malalamiko sana na akiwa mwenye kuwaza mambo mengi yanayosumbua akilini mwake pasipo kupata ufumbuzi. Ndipo niliamua kumuita bibi yangu nakuanza kumuuliza kitu gani hasa kinamsibu 'Bibi shikamo, pole na mihangaiko ya...
  11. J

    Waziri Mkuu Achangisha Bilioni 1.2 Serengeti Girls, Tembo Warriors, Asifu Ubunifu wa Wizara ya Michezo

    Waziri Mkuu Achangisha Bilioni 1.2 Serengeti Girls, Tembo Warriors, Asifu Ubunifu wa Wizara ya Michezo Na John Mapepele. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa leo Agosti 24, 2022 amechangisha zaidi ya bilioni 1.2 kwa ajili ya kuchangia timu za Serengeti...
  12. FourTwoNet

    Kama huwezi kudeal na wanawake zaidi ya mmoja, pambana na huyo huyo!

    Wakuu!!! Akyanani...ata salamu haiji, naenda straight kwenye format ya leo. Kama unataka anzisha familia ya wife zaidi ya mmoja....wanaume naomba jamani kama wewe ni ule ukipewa kachumbari na mwanamke utie muhogo afu unapoteza fahamu za kiume....yani unasimp....unakuwa tena huna maamuzi na kila...
  13. Jamii Opportunities

    Camp and Facilities Administrator at Tembo Nickel

    CAMP AND FACILITIES ADMINISTRATOR-NGARA Position Summary: Tembo Nickel is seeking to recruit a Camp and Facilities Administrator to join the Tembo Nickel Project Team. This is a Fixed Term contract of 1 Year and the successful candidate will report to the Camp and Facilities Lead. Duty...
  14. Jamii Opportunities

    Environmental Lead at Tembo Nickel 2 posts

    ENVIRONMENTAL LEAD (2)-NGARA & KAHAMA Position Summary: Tembo Nickel is seeking to recruit an Environmental Lead to join the Tembo Nickel Project Team. This is a senior role reporting to the Country Manager and the successful candidate is expected to lead Management of the Environmental...
  15. Jamii Opportunities

    Maintenance Supervisor at Tembo Nickel

    MAINTENANCE SUPERVISOR-NGARA Position Summary: Tembo Nickel is seeking to recruit a Maintenance Supervisor to join the Tembo Nickel Project Team. We are looking to employ a maintenance supervisor with an outstanding knowledge of building trades, cleaning procedures and maintenance. A maintenance...
  16. GENTAMYCINE

    Pale ambapo Tembo (Congo DR) anapoomba 'Suluhu' na Mende (Rwanda)

    Nilisikia kuna Taifa Moja Afrika Mashariki jirani pia na Congo DR liliahidi kuisaidia Congo DR Kijeshi ila cha Kushangaza wamesitisha Uamuzi huo baada ya kugundua kuwa ukimgusa Rwanda jua umeigusa pia na Nduguye Uganda hivyo uwezekano wa kupata Kichapo Kitakatifu ni mkubwa ukizingatia 65% ya...
  17. Jamii Opportunities

    Human Resources & Admin Specialist at Tembo Nickel

    Position Summary: Tembo Nickel is seeking to recruit Community Relations Lead for RAP Social Safeguards to join Tembo Nickel Project Team. We are looking for a driven and proactive implementer that can successfully monitor and operationalize the execution of the RAP. Reporting to the Social...
  18. Ocampo four

    Sumaye: Kinana anapiga dili za meno ya Tembo

    Jana kwa mara nyingine waziri Mkuu mstafu Ndg. F. Sumaye alimlipua katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi A. Kinana na kusema katibu mkuu huyo kwa muda mrefu amekuwa akijihusisha na uuzaji wa meno ya tembo (pembe za ndovu)... "Soma gazeti hapa chini" Ilimbukwe kuwa mwaka jana kituo cha utangazaji...
  19. Analogia Malenga

    India: Tembo amuua mwanamke, ameenda msibani na kuikanyaga maiti ya mwanamke huyo kabla ya kuzikwa

    Tukio la kustaajabisha limetokea India ambapo tembo alimuua Maya Murmu, mwanamke wa miaka 70 aliyeenda kutafuta maji huko kijijini Raipal, Mashariki mwa India. Tembo huyo alitokea na kumshambulia mama huyo ambaye alifariki akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rasgovindpur. Siku ya mazishi...
  20. J

    Spika Tulia aipa serikali miezi 3 kuleta taarifa kama ni kweli Tembo wanaua watu katika maeneo mbalimbali nchini

    Spika Tulia ameiagiza serikali kuleta taarifa bungeni iwapo malalamiko yaliyotolewa na wabunge kwamba Tembo wanauwa watu katika maeneo mbalimbali nchini yana ukweli wowote. Spika Tulia amemwomba Waziri mkuu Mh Majaliwa taarifa hiyo hiyo iwe imefika bungeni ndani ya miezi 3 kuanzia leo. Chanzo...
Back
Top Bottom