tembo

Tikki Tikki Tembo is a 1968 picture book written by Arlene Mosel and illustrated by Blair Lent. The book tells the story of a Chinese boy with a long name who fell into a well. It is a sort of origin myth about why Chinese names are so short today. The book is controversial because it appears to retell a Japanese story and because it does not portray Chinese culture accurately.

View More On Wikipedia.org
  1. Katibu Mkuu CCM (Chongolo) amtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi Chana kujiuzulu

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo ameshindwa kudhibiti changamoto ya tembo wanaoharibu mazao ya wananchi wilayani Meatu katika Mkoa wa...
  2. L

    Zimbabwe yafanya mkutano wa kilele wa tembo kujadili usimamizi wa tembo

    Mkutano wa kilele wa tembo umefunguliwa jana Jumatatu katika mbuga ya wanyamapori ya taifa ya Hwange nchini Zimbabwe, ambapo nchi zinazoshiriki zimetaka kufikia makubaliano kuhusu usimamizi wa tembo na hifadhi ya wanyamapori. Mkutano huo utakaoendelea hadi Mei 26 utakuwa jukwaa la kujadili...
  3. Konde Gang: Sahau views laki 3 za Ibra ndani ya dakika 1, Harmonize kafikisha views Milioni 1.3 ndani ya sekunde 30

    Koh koh koh, yooooo jeshiiiiiiii , views for everibadeee Cha ajabu jamaa hajali kabisa na anajiona tembo, kapost kwenye page yake kujipongeza huku akila mafegi kho!! Kho!! Kho!! Views milioni 1.3 hizo ndani ya sekunde 30😳😳 ..... Koh koh koh, Konde gang mziki umewashinda kihivyo mpaka mnunue...
  4. Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

    Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.
  5. Community Relations Officer at Tembo Nickel Corporation

    About Tembo Nickel Corporation Tembo Nickel Corporation (“Tembo”) is an operating company formed via the Framework Agreement (19 January 2021) between Kabanga Nickel Limited and the Government of Tanzania for development of the Kabanga nickel deposits in the Ngara District in the Northwest of...
  6. Tahadhari: Tembo ni hatari sana

    Kwa wale tunaosafiri sana huko maporini tujue kuwa Tembo akiwa amechokozwa au kapoteza mtoto wake anakuwa na hasira sana. 1. Tembo anakimbia sana kuliko binadamu, speed yake 40 km/hr 2. Tembo hategemei sana kuona yeye ananusa zaidi 3. Ukimuona Tembo kaa kimya 4. Uhai ni muhimu kuliko kilimo 5...
  7. Karagosi kalewa tembo

    KARAGOSI KALEWA TEMBO Naona kama jana vile. Hata shule ya msingi bado. Eid imefika na watoto wa mtaa mzima mchana baada ya kupiga pilau tunavishwa nguo zetu tayari kwa safari ya Mnazi Mmoja kwenye mapembea na karagosi. Kote tutapita kwenye vibanda lakini banda letu lililokuwa likitufurahisha...
  8. W

    Frank Ngailo: Mchezaji wa Tembo Warriors anayekwenda katika majaribio nchini Uturuki

    Naibu waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul, amesema matunda ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kukubali kuwa mwenyeji wa mashindano ya Mataifa Barani Afrika kwa Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu (CANAF) yameanza kuonekana...
  9. Milipuko Jiji la Kampala na msemo wa Kiswahili "Mgema akinyolewa tembo..."

    Banzukulu nawasalimu kwa jina la Mungu Baba. Nianze moja kwa moja na maudhui, katika hali ya kushangaza Uganda hasa katika jiji la kampala kumetokea milipuko iliyopewa jina la milipuko ya magaidi iliosababisha vifo kadhaa na majeruhi katika makumi, katika siasa za kikanda ulinzi wa pamoja na...
  10. Hatari Same; Makundi ya tembo yanatishia uhai, Waziri Ndumbaro chukua hatua

    Habari wana JF wenzangu, Ni miaka mingi nimekuwa mtumiaji wa barabara ya kuelekea Mikoa ya kaskazini mwa nchi yetu yaani Kilimanjaro na Arusha bila kuona wanyama wowote wakali kama simba au tembo. Lakini jambo la kushangaza, hivi karibuni yameibuka makundi makubwa sana ya Tembo wengi sana...
  11. Makamanda wenzangu mlipoanza kusifia kuwa mama anaupiga mwingi nikajua mnalitia tembo maji.

    Kwa kweli kama kuchenjiwa na serikali tumechenjiwa. Maana haijawahi kutokea kwenye historia ya taifa letu Chadema na watanzania kupata harassment ya namna hii. Tukiandamana tunapewa kibano, tukifanya makongamano tunapewa kibano, tukifanya jogging tunapewa kibano. Kwa namna hii tuna wakati...
  12. C

    Wana simba tukiingia robo fainali CAFL mwaka huu tuchinje tembo kabisa na kufanya party kubwa

    Yes ndiyo nimesema kwa sababu ya mechi ya utopolo, nimegundua tu kwamba mzungu wetu ni very stubborn yaani ana ka system chake fulani hakana plan b Tusijipe ugonjwa wa moyo kwamba eti nusu fainali WE SHOULD FORGET ABOUT IT hii ngoma inaweza kufia makundi kabisa hata robo fainali tukifika tuombe...
  13. F

    Magufuli ni Utitiri uliombeba Tembo kwa kasi ya Duma

    Mke wangu aniamsha, usiku saa sita, Machozi aomboleza, simu anonyesha, Habari mbaya napata, usingizi unakata, Akili yangu kataa, Magufuli amekufa. Tarehe kumi na tano, ndoto ninaota, Aniijia Raila Amolo, machozi analia, Dola toa tangazo, tarehe kumi na saba, Akili yangu kataa, Magufuli amekufa...
  14. Rais Samia, kumbuka mgema akisifiwa tembo hulitia maji

    Naomba kuwasilisha! Mama ulianza kwa kupika mvinyo mwanana wa uongozi mpaka wasiofungamana na wew kiitikad (ikiwemo Mimi mshale21) wakaukubali kwa utam kisha wakaonesha hisia zao kua huenda mwelekeo ukawa sawa! Sasa umepata sifa umeanza kupiga dilution kwenye mvinyo Sasa hauna Radha na hakuna...
  15. M

    Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana. Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
  16. L

    “Tukio la kutoroka kwa tembo” la China latoa njia ya kufikiria jinsi ya kulinda wanyamapori na kuondoa mizozo na binadamu

    Nchi nyingi hasa za Afrika zimebarikiwa kuwa na hazina kubwa ya wanyama pori ambao wanachukuliwa kama kivutio cha watalii lakini pia wanatumika kama chanzo cha kuiingizia nchi mapato yanayotokana na utalii, na pesa zinazopatikana zinatumika kuleta maendeleo ya nchi. Mwezi Mei mwaka jana...
  17. K

    Waziri Ndumbaro punguza siasa katika usalama wa wananchi dhidi ya tembo wavamizi

    Wakuu, Kwa sasa hali ya usalama wa wananchi wanaoishi maeneo ya jirani na hifahibza wanyama pori umekuwa wa kusuasua kutokana na uvamizi wa tembo katika makazi na mashamba ya watu, pia hata wengine kuuawa Sasa waziri Ndumbaro amekosa suluhu dhidi ya tembo hao kunusuru usalama wa raia na mali...
  18. Apoteza maisha kwa kushambuliwa na tembo, Handeni

    Mtu wa pili amepoteza maisha ndani ya wiki moja baada ya kushambuliwa na tembo wanao endelea kuzurura hovyo kwenye makazi ya watu katika mtaa wa malezi wilayani Handeni mkoani Tanga. Akiongea na ITV akiwa hospitali ya wilaya ya Handeni ulipohifadhiwa mwili wa marehemu ambaye amejulikana kwa...
  19. K

    Tembo wamekuwa tishio kwa wananchi, Serikali iwavune kwa Usalama wa Raia

    JF, Hii imekuwa kero kwa raia wa nchi hii kutoka mikoa mbali mbali. Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti taarifa za tembo kuvamia makazi na mashamba ya watu na kusababisha madhara kwa mali za watu na uhai wao. Mikoa ya Ruvuma, Tanga na Manyara kero hii ni kubwa mno,, wananchi...
  20. Tembo 30 wavamia mashamba na makazi ya watu wilayani Namtumbo

    Tembo 30 wakiwa katika makundi mawili wamevamia makazi na mashamba ya wananchi na kuharibu ekari zaidi ya 20 za mazao mbalimbali na kuzusha taharuki kubwa kwa wananchi katika kijiji cha Mbimbi wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma. ITV imetembelea mashamba yaliyoharibiwa kijijinii hapo katika kata ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…