Baadhi ya wafanyabiashara Morogoro tunadai hela TEMESA za kuwasambazia bidhaa kwaajili ya magari yao toka 2022 mpaka Leo hawajatulipa, tumeshatuma barua za kuulizia kwanini wanachelewa lakini hawatoi majibu yoyote.
Kuna kikao kilifanyika mwezi wa tatu mwaka 2024 cha wafanyabiashara wote...
Anonymous
Thread
akala wa ufundi na umeme
madai serikalini
temesatemesamorogoro