temesa morogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali Itusikie wazabuni, tunaidai TEMESA Morogoro tangu 2017

    Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara tulioumizwa na bado tunaendelea kuumizwa na taasisi ya serikali TEMESA mkoani Morogoro. Nina madai ya madeni tokea 2017 nili-suply vipuri vya magari ila mpaka sasa nadai. Miaka mitatu iliyopita walidai tupeleke invoice na barua ya madeni hayo kuwa wanatuma...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO TEMESA Morogoro haijawalipa wafanyabiashara waliosambazia bidhaa

    Baadhi ya wafanyabiashara Morogoro tunadai hela TEMESA za kuwasambazia bidhaa kwaajili ya magari yao toka 2022 mpaka Leo hawajatulipa, tumeshatuma barua za kuulizia kwanini wanachelewa lakini hawatoi majibu yoyote. Kuna kikao kilifanyika mwezi wa tatu mwaka 2024 cha wafanyabiashara wote...
Back
Top Bottom