said rutemba
New Member
- Jan 27, 2015
- 3
- 3
Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara tulioumizwa na bado tunaendelea kuumizwa na taasisi ya serikali TEMESA mkoani Morogoro.
Nina madai ya madeni tokea 2017 nili-suply vipuri vya magari ila mpaka sasa nadai.
Miaka mitatu iliyopita walidai tupeleke invoice na barua ya madeni hayo kuwa wanatuma Dodoma makao makuu kwa mapitio na malipo ila mpaka leo hii hakuna.
Hii hali ni kurudishana nyuma kiuchumi. Binafsi ninadai Tsh milionu 13.4M toka 2017 na tupo wengi ambao tunazungushwa.
Naomba kupitia jukwaa hili basi wizara husika itusaidie maana hatuna pa kulalamikia tena.