tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mbona hatusikii tena habari za ushindi wa magoli mengi? Goli moja limekuwa lulu wakilipata wanashangilia mpaka wanavunja viti!

    Kulizuka katabia Fulani hivi vijana wa Rage na Mangungu walikuwa wanaizodoa Yanga kwamba inapata ushindi wa kigoli kimoja na wao wanafunga mengi sasa hivi wameufyata kulikoni! Hicho kigoli kimoja wanapokipata wanashangilia kama wamepata dhahabu ni maajabu haya!
  2. monotheist

    Leo nimeandaa tena kuku kama wa KFC, njoeni mjifunze

    Msela leo magetoni nikaamua kuandaa tena kuku kama wa KFC ni watamu sana yaani MAHITAJI NILIYOTUMIA; Vidali viwili, mafuta lita 1, unga wa ngano nusu, soya souce, curry powder, paprika, black pepper, unga wa pilipili inayowasha, chumvi na limao Mchanganyiko huu nimechanganya kwenye kuku na...
  3. Chakaza

    Endeleeni Kuimba Mitano Tena, Lakini Mtaishia Kulia na Kusaga Meno

    Hivi mmepatwa na nini ndugu zangu Watanzania? Uendeshaji ulio feli wa CCM unaosababisha nchi kuingia madeni makubwa na kuathiri tija kwa taifa hadi nchi kutegemea kuchimbiwa vyoo na nchi wahisani, kutegemea vyandarua vya bure ili kuwakinga na malaria wake zetu wenye mimba nk huku tunaendelea...
  4. green rajab

    Chief of Staff wa IDF amekoswakoswa tena wanne wauwawa huko Jabalia

    Mnadhimu wa Jeshi la Wanamgambo Israel amekoswakoswa na kuuwawa baada ya nyumba aliyokuwemo kulipuliwa na Wanajeshi wa Hamas. Lt Gen Halev alikua katika majukumu yake ya kukagua wanamgambo katika uwanja wa vita.. Shambulio hilo limeondoka na wanamgambo wanne. BREAKING: HAMAS TARGET HOUSE WHERE...
  5. The Mongolian Savage

    Floyd Mayweather aitembelea tena Israel

    Yeeeerrrrreeeeh Mwana masumbwi mmarekan mstaafu Floyd Mayweather aitembelea tena taifa teule (Israel) kwa mara ya nne tangu October 07 2023. Safari yake hii ya nne kawatembelea wanajeshi wateule (wayahudi) waliojeruhiwa vitani kwenye rehab. Floyd Mayweather akiwa kwenye rehab alizungukwa na...
  6. S

    Tatizo la lugha kwa waandishi wa habari; Gazeti la Guardian la IPP Media ladokeza kwamba Joseph Kabila, Kikwete, Uhuru Kenyata hawapo tena duniani!

    Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai! Haya ndiyo waliyosema Guardian. Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
  7. Subira the princess

    LGE2024 CHADEMA mnasikitisha hamuaminiki tena

    Wasalaam, Kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa mwezi ujao naona CHADEMA mmeamua kulamba matapishi yenu kwa kushiriki uchaguzi ambao kwa vyovyote vile hamuwezi kuashinda kwani kwa 90% wazimamizi wote wa uchaguzi ni makada wa CCM. Inashangaza kwenda kwenye uchaguzi kisha mkishashindwa mtaita...
  8. W

    Uchaguzi huu wa Serikali Mauzauza yanafanyika hadharani hamna uwoga tena

    Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa mauzauza sana jamani. Siku kadhaa zilizopita nilikuwa saluni akapita mjumbe wa mtaa wa Matawi, maeneo ya Skanska, akatusalimia pale na kuanza kuongelea mambo ya uchaguzi na kusema akidai kwamba chama kinawalinda watu wake na hakiwezi kukubali mtu wa nje...
  9. Mshana Jr

    Kibatala tena

    Sehemu ya mahojiano ya Wakili Msomi Peter Kibatala na Mkuu wa upelelezi Mkoa wa kipolisi Kinondoni, SSP Gerald Ngichi kuhusu kesi nambari 112 ya Mwaka 2018 iliyowahusu Freeman Mbowe na wenzake. KIBATALA: Umesema Freeman Mbowe aliondolewa kwenye Mkutano na walinzi wake? SSP Ngichi: Ndio...
  10. C

    Mliwezaje kuinuka tena?

    Ningependa kufahamu, wengine mliwezaje kuinuka tena baada ya kuanguka kiuchumi? Mlitumia mbinu gani kuondoka katika hali ya ufukara uliokithiri, na ni nini kilichowasaidia kufanikisha hilo? Mbona kwangu imekuwa tofauti sana? Inaonekana kuisha miaka mitatu, bado nikiwa katika giza nene baada...
  11. Trinity

    Nilifunga ukurasa wa kutapeliwa lakini nimetumbukia tena

    Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote. Direct, Jana katika pita pita zangu Instagram nikakutana na page jamaa anauza vifurushi bei chee sana, moyoni nikasema hapa hapa nitaokoa gharama za pesa kununua bando la internet. Kumbe sikujua nipo kwenye mdomo wa mamba hatimae Nilijipeleka...
  12. Ben-adam

    Nakukumbusha tena, "acha kubeti" mwisho wa betting sio mzuri

    Kijana acha kubeti, amua kuachana na utumwa huo bettingi haitakuacha salama Katika betting sio tu unapoteza pesa bali unapoteza na uwezo wa kufikiri, ubunifu nk Betting inaweza kuathiri sana akili ya mtu, na mara nyingi athari hizi hujikita taratibu, hivyo kuwa ngumu kugundulika mapema. Athari...
  13. kichongeochuma

    Ni kitu kibaya sana tena sana kuiweka serikali rehani kwa matajiri na wafanya biashara

    Nadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere, Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au...
  14. G

    Nimeota, nimwambie Raisi wa liberia asigombeee tena uraisi, Astaafu kwa amani na Moyo wake.

    Ndoto ni ndoto, huwezi kuchagua uote nini na nini uache kama ikimpendeza basi mama aende katika madhabau anayoamini apige magoti ashukuru kwa yote aliyowafanyia wananchi wake, Tukiwa wakweli vijana wengi ajira zilifunguka kiasi chake, Moyo wa mtu kichaka yeye kama mwanamke kajitahidi sana. Yangu...
  15. Ritz

    IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

    Wanaukumbi. Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran. Operesheni True Promise III inakuja hivi karibuni. Iran, wamesema wazi lazima walipize kisasi wana haki ya kujilinda kama taifa kamwe hawezi kukubali na wako tayari kwa vita virefu...
  16. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Siku hizi Taasisi yenu ya 'Makumbusho' haiwezi tena Kusomesha Watumishi wake Masters na PhD's na inawataka wajisomeshe kwa Pesa zao?

    Mimi nilidhani kwakuwa Taasisi yenu hiyo ya 'Makumbusho' nchini Tanzania ina Hela nyingi (huku zingine zikiwa hazina Kazi) ambazo kamwe na Kisheria hazihojiwi Kokote basi ingekuwa pia ina uwezo mkubwa sana wa Kuwasomesha Watendaji wake wa 'Kimakumbushomakumbusho' Elimu za juu kama za Masters na...
  17. Eli Cohen

    Watekaji walikata sikio la mjukuu wake baada ya Getty kuwa mgumu wa pesa. Alivyoona hivyo akademand apunguzie ransom maana mjukuu hayuko kamilifu 🤣🤣

    Paul Getty, huyu ndio mmoja ya wawekezaji wa kwanza kuvuta mafuta Saudi Arabia miaka hio bado ni nchi isio na maendeleo makubwa. Mwanzoni Waandishi walivyomuuliza kwa nini hataki kutoa ransom alijibu hivi "Nina wajukuu kumi nne. Kama nikitoa pesa ya huyu mmoja basi 14 wengine watatekwa"...
  18. secretarybird

    Hivi vinavyopita hewani ni nini?

    Habari ya kutwa nzima wana jamvi. Jioni ya Leo Majira ya saa maja jioni nimeshangaa sana baada ya kuangalia angani upande wa mashariki na kuona vitu mithili ya nyota vikipita, ukivichunguza kwa makini vitu vile utagundua kuwa vimeungana na kutengeneza kitu kama mnyororo unaojongea. Ili...
  19. B

    Baada ya matendo yake sina hisia nae tena, nifanyaje?

    Ni Mume wangu wa ndoa, Mwaka jana niligundua anatembea na rafiki yangu, rafiki ambae tumekua wote shule tumesoma wote mpaka chuo bahat mbaya tukaolewa mikoa tofauti Lkn haikutupa shida kwan tulikua tunatembeleana mara kwa mara alikua kama ndugu maana mpaka wazazi wetu walikua na ukaribu kupitia...
  20. chiembe

    Ziara za Chalamila akiongozana na watumishi wa umma, tena usiku wa manane, zina muongozo upi wa sheria? Hasa kwa wenye watoto na ndoa?

    Nimeona Mkuu wa Mkoa amezindua ziara za usiku mzima, tena akiwa na watumishi wa umma wa kike na kiume. Ninachofahamu, muda wa mtumishi wa umma kuwa ofisini mwisho saa tisa na nusu. Sasa sijafahamu kuhusu huu utumishi wa mpaka usiku wa manane. Kwanza, hao watumishi wanatakiwa kuwa kazini saa...
Back
Top Bottom