Msela leo magetoni nikaamua kuandaa tena kuku kama wa KFC ni watamu sana yaani
MAHITAJI NILIYOTUMIA;
Vidali viwili, mafuta lita 1, unga wa ngano nusu, soya souce, curry powder, paprika, black pepper, unga wa pilipili inayowasha, chumvi na limao
Mchanganyiko huu nimechanganya kwenye kuku na...