tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa sasa, kuokota simu si bahati tena bali ni balaa

    Kuna tukio limetokea Kibaha, Kwa Mfipa, familia imevamiwa, wameibiwa vitu ndani ikiwemo na gari, wamechukua na simu za uwakala wamelazimisha wapewe na PIN, wamepewa. Kama haitoshi wamewafunga kamba mke na mume, wakawaweka kwenye mashimo ya choo tofauti, mtoto wa miezi saba hajulikani yuko...
  2. B

    CCM inachekesha sana; wazee walioshindwa miaka yote ndio wanarudishwa tena? Wana Jipya gani?

    Kuna mambo mengine ni kama dharau. Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje? Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
  3. Hivi tabia ya Watanzania kuwa wajuaji na kuelezea kitu ambacho hawakielewi maana yake tena comfortable kabisa inatokana na nini?

    Wakuu kumekuchaje? Mimi ni mfuatiliaji wa kipindi cha BAMBA LIVE, kinachoendeshwa na BobCat. Kawaida ya kipindi hiki jamaa hupita mtaani na kuwauliza maswali baadhi ya watu. Maswali yenyewe anaweza kuuliza na kuweka terminology ya kiingereza ambayo ukiitafsiri unakuta ni nje kabisa na uelekeo wa...
  4. R

    Nani Mwandishi jasiri wa kurusha tena kipindi Cha Mchakato Majimboni?

    Hellow Tanganyika!! Miaka Ile palifana sana kuangalia kipindi Cha Mchakato Majimboni, Jambo hili lilifanya wagombea wa chama tawala kuhudhuria kipindi sababu usingetokea ungepoteza point Kwa wananchi. Sasa tunataka tena kipindi hiki kurudi, swali ni nani jasiri wa kukirudisha? Cc:Pascal...
  5. South African Airways kuanza tena Safar za Dar-JHB

    South African Airways (SAA) wanarejea Dar (JNIA) kuondoka Dar*JNIA 0510am kufika OR Tambo International Airport 0755am. Timing nzuri (unatoka alfajiri straight to business meetings ,shopping) Bye bye KQ na Airlnk
  6. B

    Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

    Tulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi, Wakati namtongoza nilimwambia najitafuta, akakubali maisha yangu, yeye akawa anafanya biashara ya kuuza duka la perfumes mainly (na cosmetics nyingine kwa ujumla) Tumeishi kama miaka miwili kipindi hiko chote nilikuwa nampromise...
  7. CCM haitatamalaki katika utukufu tena

    Sikumbuki ni lini baada ya uchafuzi mkubwa wa kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM ilisikika tena popote! Hata matukio ya kutengenezwa ili kuiweka ccm kwenye ramani ya mijadala yalikufa mimba changa... CCM imeumilaliza mwaka 2024 kinyonge na kwa udhaifu mkubwa.. Bila nuru usoni wala...
  8. Z

    Mbowee mitano (5) tena, aluta kontinua.

    Kamanda yupo imara yuko fiti kwa mapambano..... Nikisemaa mboweeeeee..........unajibu , mitano teeenaaaaaaaa 5tenaaaaaaaaaaaaaaa. Bila Mbowe hakuna Chadema Imara. Hatuwezi kukabidhi chama kwa raia wa Ubelgiji.
  9. M

    Pre GE2025 Mwenyekiti Mbowe, sisi wananchi hatutaki tena siasa za Ki UNCLE TOM tunataka siasa za kuwapelekea CCM moto. Huelewi wapi?

    Ndugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi. Nakuandikia huu waraka huu ili ujue sisi wananchi huku kitaa tunataka nini. nifuatilie kwa makini. 1. Mosi umefanya blunders nyingi ila chama kilikulinda kwa mfano. *Ulipomleta Lowasa CHADEMA wakati ukijua chama kilikuwa na msimamo thabiti dhidi yake...
  10. R

    Hizi hapa responses kutoka kwa wasomaji kuhus Lissu kusema sasa ni siasa za mshike mshike, siyo maridhiano tena

    Lissu: "Hakuna kuimbiana maridhiano yasiyokuwepo, hakuna tena habari ya kualikana kwenye vikao vya kuzungumza mambo yasiyojulikana. Bali ni muda wa mapambano ya kudai mabadiliko ya kimsingi ya nchi yetu na zinatakuwa siasa za mshike mshike kweli kweli" Tundu Lisu , Makamu Mwenyekiti Bara wa...
  11. Lissu: Chadema kipo kibra na M/kiti hana ushawishi tena ndiyo maana hata anapoitisha maandamo ni yeye na binti yake wanahudhuria

    "....Lazima tujiulize, tumewakosea wapi WANANCHI hadi kupelekea hawaiamini tena Chadema?" "....mfano, imefikia M/kiti akiitisha maandamo anaye jitokeza ni binti yake na yeye peke yake-kwanini?!" "....watu waliokuwa tayari kutufia, sasa wana kiona Chadema kama rafiki kipenzi wa CCM." Tundu.
  12. Msaada: Mama yangu anasumbuliwa na tatizo la akili ambalo hospitali halionekani

    Salamu kwenu wakubwa zangu.🙏 Wakuu nina changamoto ya kifamilia, kiafya zaidi na ninaomba msaada kutoka kwenu. Mimi ni mwanafunzi wa elimu ya sekondari ya juu ninaishi na mzee (baba), wadogo zangu pamoja na mama wa kufikia. Situation ipo hivi ndani ya siku za hivi karibuni since last year...
  13. Bila kumpigia magoti na kumtaka radhi huyu mwanamama, CHADEMA haitaweza kuwa sawa tena.

    Januari 5, 2011 haitakaa isahaulike kwa wapenda demokrasia wote duniani kwa kilichotokea Arusha. Maandamano ya CHADEMA yalizimwa kwa nguvu kubwa na jeshi la polisi hadi kutokea maafa ya watu kuumizwa na baadhi kupoteza maisha. Nakumbuka hiyo siku mimi nilikuwa natoka mizunguko yangu kufika posta...
  14. Pre GE2025 Mbowe badilika sasa, waambie wanaCHADEMA utawafanyia nini kipya ikiwa utachaguliwa tena

    Tangu Mbowe atangaze kuingia tena kwenye kinyang'anyiro cha kutaka kutetea nafasi yake ya uenyekiti hajaweza kusema ana agenda gani mpya kwa Chadema ili achaguliwe tena. Muda mwingi amekuwa akijibu shutuma zinazomhusu na kujitetea kwanini anastahili kuendelea kukalia hicho kiti kwa miaka...
  15. M

    Pre GE2025 Lema Ubunge ndio basi tena?

    Maana kitendo cha kumuunga mkono Lissu ni wazi unapoteza kila kitu ndani ya CHADEMA. Na jinsi ya Makonda alivyotanda Arusha sijui kama kupitia chauma ataweza kungara
  16. Jamii ya wahadzabe ilindwe, baada ya miaka 8 hawatokuwepo tena

    Ndani ya hii miaka miwili Kuna muingiliano mkubwa sana wa jamii wa watu wa hadza na watu wa ulimwengu wa kwanza kitu ambacho binafsi naona kama kitachangia sana kuharibu mfumo wa mzuri wa kiasili waliouzoea kuishi na kuondoa kabisa ule utambulishi wao kama wahadzabe Wageni wengi wanaokuja...
  17. Ushauri kwa TEMESA hasa kunapokuwa na ambulance kivuko cha Mv Kazi

    Kila mara tunajribu kuwaambia kwa vile panton ni moja kipind hiki, nyakati za dharula msiwe mnajaza magari line tatu. Hii itasaidia vipi? Itasaidia abiria kuingia kwa haraka na kuondoka haraka kuliko magari yakiziba full matokeo yake watu wanaingia kwa kupenya. Leo ambulance maskini mgonjwa...
  18. Soon tu aliyezaliwa 2002 hatokuwa mtoto tena

    HERI YA MWAKA MPYA 2025 aseeeeee siku zinaenda kasi sana. naona kizazi cha 90 nacho kishatoka kwenye enzi za utoto... na enzi za ujana zinaelekea kuisha kwa kizazi hichi chetu cha 90 sooon tuu hivi vidogo vyetu vya 1998,1999 ,2000,2001,2002 na hata 2003. navyo vitasema FINALY CHILDHOOD...
  19. Nitashangaa sana Samia Suluhu Hassan akishinda tena urais 2025

    Hakuna wakati ambapo uchaguzi wa Tanzania ungekuwa mwepesi sana kwa wapinzani kama uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Ni wachache mno wanaoridhishwa na serikali hii ya awamu ya sita, kati ya hao ni wateuliwa, baadhi ya wanachama wa CCM wenye maslahi (asilimia kubwa ndani ya chama hawamkubali...
  20. Mnawezaje kuishi/kukaa na mwanamke anaeongea na simu muda wote tena vitu visivyo na msingi?

    Kama mada inavyojieleza Nina mke wangu ambaye nina watoto nae. Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha na upendo. Baada ya siku kadhaa mama yao nae kaja kutoka huko anakofanyia kazi. Sasa kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…