tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Hakikisha mke wako hana mwanaume mwingine nje, siku akiwa naye hatokupenda tena mpaka atakufa

    Nawasanua wana musije kusema sijawaambia. Nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu, najua ninachokiongea hapa.
  2. B

    Nini lilikufanya mpaka ukasema hutokuja tena kuwa na mahusiano na mtu uliyekutana nae mtandaoni

    Katika Harakati za Kujamiana na watu mbalimbali kwenye mitandao basi nikapata binti mmoja nikamwelewa sana Ila siku ya appointment picha alizotuma na mwana dada niliyekutana nae ilikuwa ni ardhi na mbingu 🀣Dah filter ipigwe fine wazee Vipi kwenu, wadau ilikuaje mpaka ukasema hutaki tena...
  3. Kwanini Tanganyika ilikufa na Zanzibar ikabaki?

    Huu muungano huu kiukweli pamoja na kusoma kwangu shule zote sijawai kupata majibu kutoka kwa wanasiasa au walimu wanaofundisha ! Nina maswali wataalamu naomba mnijibu Tanganyika iko wapi? Mbona Zanzibar ipo? Kwanini Zanzibar utoa Rais wa Tanzania wakati Tanganyika haiwezi kutoa Rais...
  4. Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA kimepoteza mvuto, hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani

    Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani. "Wamepoteza dira, wamepoteza misingi ya chama chao, wamepoteza mvuto na kujiita chama cha upinzani kikuu...
  5. Mapinduzi Cup 2025 kushirikisha timu za taifa sio vilabu tena, bingwa kuondoka na Tsh. Milioni 100

    Wakuu ZFF wamekuja na mfumo mpya wa Mapinduzi Cup! Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa 2025 itashirikisha timu za Taifa na sio vilabu kama ilivyozoeleka ambapo michuano hiyo itachezwa kwa mtindo wa makundi, nusu fainali na fainali itakayopigwa Januari 13, 2025 na mechi zote zitapigwa katika...
  6. S

    Hodi wakuu! Nimerudi tena.

    Habari za humu wakuu. Nimerudi tena naomba mnipokee.
  7. Erdogan adhiihirisha tena si mtu wa kumtegemea,Anafanya kinyume na anavyotangaza

    Rais wa Uturuki katikati ya vita vya Gaza alitangaza ataingia Israel ili kuizuia Israel isiendelee kuwaua wapalestina, Hilo jambo hakulifanya kamwe. Anachokifanya sasa kuwapa silaha waasi na mamluki wa Marekani ili kumpinuda Bashar Al Assad ni msaada mkubwa kwa Israel ambaye imechanganyikiwa...
  8. Swali kwa wanasheria: Je, Dk Mpango anaweza kumalizia muda wa rais Samia kisha anagombea tena miaka mitano?

    Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya . Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026...
  9. Video:Vijana wa hovyo hii Code Ni ya mwisho sitawaambia tena.

    Vijana akiingia geto hakikisha harudi salama. Siyo demu anakuaga unaanza kujiuma uma tu... Mwamba kapita mle mle. Hii ni ya mwisho sitawaambia tena πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‹πŸ˜‹
  10. Fungeni CCTV Camera kwenye maeneo yenu ili kujilinda na kulinda wengine

    Ukipanda basi ulizia Lina CCTV camera na inafanya kazi? Vituo vya kujazia mafuta tunaomba fungeni CCTV maana zitasaidia Sana mbele ya safari. Kama nyumba yako iko barabarani funga CCTV maana unaweza kuokoa maisha ya watu. Kwenye bar, mgahawa, hoteli, mtaa wenye maduka na shughuli nyingi...
  11. Narudi tena! Kati ya Mpanda na Morogoro wapi sehemu sahihi kwa hustle?

    Wakuu hivi sehemu sahihi ya kiutafutaji katika ya Morogoro na Katavi ipi ni sahihi? Kwa maana ya biashara ya mazao na maduka ya dawa Morogoro maeneo ya Ifakara, Mvomero, Malinyi, Kilombero na Mlimba?
  12. Baada ya kifo cha Dr. Ndugulile, kwa sasa Tanzania tusahau kabisa kuupata tena ukuu wa WHO ukanda wa Afrika, haiwezekani!

    Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo. Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea tena huko WHO baada ya kifo cha Dr. Faustine Ndugulile zimeshika kasi, na serikali nayo ikaja na kauli...
  13. Pre GE2025 Makonda ajaribu tena bahati yake Kigamboni

    Mungu hamwachi mtu wake Poleni sana wafiwa wote na wana CCM wenzangu Nimewaza nkasema bado tuna kijana mdogo mwenye kutufikisha mbali kama sio kaanani CCM kwa heshima na taadhima tunaomba mh makonda ajaribu tena baahati yake kugombea kigamboni All d best Mungu ibariki Tanzania na Kigamboni...
  14. This time Hezbollah na Iran tumeshindwa. Hili halina tena kificho. Tujipange upya next time

    Hawa waasi wa Syria wamepata nguvu kutokana na mambo makuu mawili 1. Kushindwa kwa Hezbollah huko Palestina. Hezbollah ndo walikuwa kikwazo kikubwa kwao 2. Hali mbaya ya Iran pamoja na Syria 3. Vita vya Urusi na Ukraine. Sababu hawa ndo marafiki wakubwa wa Assad jemedari wetu. Kwa sasa Russia...
  15. Adjustable gaming electrical table

    Adjustable gaming electrical table ZIMEFIKA NEW STOCK price 950,000/= FREEE INSTALLATION CALL OR WHATSAPP 0692562259 kijitonyama location
  16. Amini usiamini leo wanafungwa tena

    amini usiamini leo timu mbovu inafungwa tena ikibidi ishuke daraja kabisa msimu huu,we kolo we wacha kukenua meno yasiyopigwa mswaki wiki 6 nazungumzia Namungo ndo timu mbovu lazma ifungwe tena leo pale pale uwanja wao wa nyumbani kama ilivyotokea msimu uliopita,8 march 2024 alibugizwa 1-3 na...
  17. U

    Nimeamua kurudi tena kwenye uhusiano, natafuta mchumba (Mwanamke)

    Mimi ni mwanaume umri miaka 33. Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo . Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu kwangu sichagui umri wala kabila. Makazi yangu yapo dar, na mpenzi wa mwisho nilimpata humuhumu ila...
  18. Pre GE2025 CHADEMA msipotumia akili huo mgao wenu wa Wabunge mlioahidiwa mtajikuta mmepewa Mbunge mmoja tena, achaneni na maridhiano

    Wazungu wanamsemo wao mashuhuri sana unaosema, there is no honor among thieves, wakimanisha kwamba wahalifu hawaheshimiani linapokuja suala la maslahi ama kugeukana. Sasa kwa watu wa namba tumeshaona uwezo wa Chadema kupewa ubunge kwa njia ya rushwa kama mlivyokubaliana na CCM ni kaburi la kifo...
  19. Ni trilion ngapi zinatosha kujenga Hospitali inayokidhi matibabu ya viongozi wetu ili wasiende tena India? India imekuwa Jehanamu inameza viongozi we

    Ifahamike kwamba, inaeezekana kabisa kuwachukia viongozi wetu kwa baadhi ya mambo hasa ya kisiasa ila si kuona wala kusikia wakifa mara tu wanapougua na kwenda India kwa matibabu Kama Taifa, kweli kabisa hatuna uwezo wa kujenga miundombinu bora na vifaa tiba vyote vinavyokidhi ubora kama India...
  20. M

    Yanga tusitumie tena uwanja wa Mkapa. Wanatuhujumu

    Tuwe tunahama viwanja hadi tutakapopata kinachotupa ushindi au sare. Nashauri tuhamie hata Iringa Mjini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…