Mfumo wa elimu wa wengi umewafunza kuomba nafasi mezani ilihali maisha yanataka mtu achukue(ak-claim) nafasi yake mezani kibabe.
Ukiomba unaweza kupewa ama kunyimwa, ukichukuwa nafasi yako mezani kibabe kila mtu atabaki akijiuliza, huyu ni nani? Nani yuko nyuma yake? Ametoa wapi ujasiri...