Toka zamani nilikuwa najua wanyama wote hufanya tendo la ndoa kwa ajili ya kuzaliana tu. Kumbe si kweli.
Tafiti zinaonyesha kuna baadhi ya wanyama kama dolphins na sokwe ambao pia hufanya tendo la ndoa kwa sababu za kijamii, kuimarisha mahusiano, kupunguza migogoro, na inaaminika pia kwa...