ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Toka zamani nilikuwa najua wanyama wote hufanya tendo la ndoa kwa ajili ya kuzaliana tu. Kumbe si kweli.
Tafiti zinaonyesha kuna baadhi ya wanyama kama dolphins na sokwe ambao pia hufanya tendo la ndoa kwa sababu za kijamii, kuimarisha mahusiano, kupunguza migogoro, na inaaminika pia kwa starehe, si kwa lengo la kupata watoto pekee.
Ila wanaobaki wengine wote hufanya kwa lengo la kuzaliana pekee ingawa pia wanapata hisia za raha ila lengo lao kwa asilimia 100 ni uzazi wote kina tembo kina simba wanafanya tu jike akiwa tayari kubeba mimba.