tendo la ndoa

  1. Faida Za Tendo La Ndoa Kwa Mwanamke

    Tendo La Ndoa: Tendo la ndoa ni sehemu muhimu ya maisha ya mwanamke, siyo tu kwa ajili ya mahusiano, bali pia kwa afya ya mwili, hisia, na akili. Mwanamke anaweza kufurahia tendo la ndoa ikiwa kuna maelewano, hisia za upendo, na afya njema ya kimwili na kiakili. Kufanya tendo la ndoa kuna...
  2. Kufanya tendo la ndoa asubuhi kuanzia saa 11 hadi 12 kuna faida za kiafya au ni mbwembwe tu?

    Wakuu! Mtaani kuna stori nyingi sana. Sasa leo nimesikia kwa mara nyingine tena kwa wadau wangu wa kitaa kwamba wanadai etiy kufanya tendo la ndoa mida ya asubuhi kuanzia saa 11 hadi 12 kuna faida za kiafya. Ikiwemo ubongo kuwa na uwezo wa kufikiri haraka hususani katika majukumu yako ya kazi...
  3. Kama Wake zetu wangejua wanapotunyima penzi tunakua na hasira kiasi gani, wasingejaribu hata kidogo

    Inatia hasira sana unaponyimwa haki na mke wako wa ndoa, wao hawajui tu ni kiasi gani tunakua na hasira. Halafu mtu amelunyima anakuuliza, "umekasirika" Sasa unajiuliza hivi huyu anaakili kweli? Au huwa wanaona hilo ni jambo dogo? Kama unaamua kumnyima mtu unamnyima ila usianze kuongea...
  4. Nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 naacha kufanya tendo la ndoa napumzisha mwili wangu ili kuongeza siku zangu za kuishi

    Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama...
  5. Unapata Ogasm mara ngapi kipa ukifanya tendo la ndoa?

    Ndio ivyo Swali lijibiwe kama lilivyoulizwa Au wewe orgasm yako ni pesa, ukipewa pesa ndio unaipata? Happy Valentines Day to you all
  6. F

    Tendo la ndoa ni dawa. Kukaa muda mrefu bila kufanya sex kunaharibu afya ya akili.

  7. C

    Je, mwanaume aweza kukaa miezi mitatu bila kukutana na mwenza wake?

    Wakuu Mimi si member mpya kama inavyojieleza ni mwenyeji haswa humu ndani. Ningependa kufahamishwa inawezekana mwanaume kukutana na mwenza wake mara tano tu ndani ya miezi mitatu ilhali mwalala kitanda kimoja kila siku? Au kuko na shida mahali?
  8. B

    Anaomba ushauri kila akifanya tendo la ndoa na mke wake, anachoka sana tofauti na "akichepuka"

    Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri. Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine. Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto...
  9. M

    Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

    Wakuu sijui siku hizi nimepatwa na shida gani maana ninaposhiriki tendo la ndoa sipati msisimko kabisa ninapofika kwenye mshindo/ ninapomwaga/ ninapofunga goli. Yaani ninaweza kuanza tendo vizuri hata nikamfurahisha mwenza wangu lakini nikifika wakati wa kumwaga sipati raha yoyote mpaka najiona...
  10. D

    Wanaume tujifunze kushukuru Wake zetu baada ya tendo la ndoa na baada ya chakula

    Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako. Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa...
  11. Mke na mume walitembelea shamba la kilimo. Wakamuona ng'ombe dume akishiriki tendo la ndoa na ng'ombe jike

    Mke na mume walitembelea shamba la kilimo. Wakamuona ng'ombe dume akishiriki tendo la ndoa na ng'ombe jike. Mke akamuuliza meneja wa shamba: "Mara ngapi ng'ombe dume huingia katika tendo la ndoa kwa siku?" Meneja akajibu: "Mara 6 au zaidi kwa siku." Mke: akamtazama mumewe na...
  12. Tendo la ndoa ni kiuongo muhimu katika kuimarisha mahusiano ya ndoa

    Wanandoa wengi wanaendekeza mazoea ya kuzoeana katika ndoa hadi kufikia kunyimana tendo la ndoa lenye uweledi na kufikia ndoa kuvunjika kwa jambo dogo tu. Mimi ni jambo ambalo na lipa kipaumbele sana na ni miongono mwa jambo ambalo lazima nilifanye kwa ufundi sana na uweledi ulichanganywa na...
  13. Hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi bila mke?

    Zamani nilivyokua naishi msela nilikua naona jambo la kawaida tu ila baada ya kuoa naona tabu sana kulala mwenyewe , yaani wife akisafiri siku tatu au wiki naona kama mwaka. Nishazoea kushtua na wife kabla sijalala sasa nikiwa mwenyewe napata tabu sana ingawa kuna siku nyingine sijiskii hamu ya...
  14. Mabingwa wa kauli hizi naombeni majibu, mnakuwa mmepatwa na nini hasa? Mmechoka au ndo kudai kodi ya meza kijanja?

    Yani we muda wote mawazo yako ku.se.x tu, mi nmechoka siwezi Juzi nlikupa jana tumefanya na leo unataka tena? mi nimekuwa mashine? sitaki niache huko tena unikome. Tumbo linaniuma sitaweza ku.se.x leo. Jana nimeangia mp [wakati mtu mwenyewe mkavu huna cha iyo mp wala wp] Watoa kauli hizi...
  15. Je, kwa mujibu wa Biblia kumwagia nje wakati wa tendo la ndoa ni dhambi?

    Jf Amani iwe kwenu nyote. Kama kichwa cha habari kinavyosema je ni sawa ama sio sawa kumwangia nje wakati wa kugonoka? Katika hali ya kawaida kabisa ktk jitihada za kupanga uzazi wa mpango leo hii njia tunautumia tofauti na hii njia ya kumwagi nje ni mojawapo na ni kongwe ya enzi na enzi...
  16. G

    Njia rahisi ya kumtambua mwanamke mwenye UTI wakati wa kufanya tendo la ndoa.

    Wakuu habari. Leo nawelatea njia ya kutufanya tusiwe watumiaji wa AZUMA. Kabla ya kufanya mapenzi mkiwa kwenye maandaandalizi pitisha kidole kwenye uke then kinuse. Ukikuta kinatoa harufu kali hio manzi usipige au tumia kondom. Binafsi natumia hii njia Sasa hivi nimesahau habari za UTI...
  17. Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote

    🏆🏆🏆 Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote💜💜💜. Najua ni ngumu kwani kuna kausha damu, lakini mfanye atamani kukutana na wewe kwa kumuonyesha kwamba unamkumbuka❤️❤️❤️. Kwa mfano, uko kazini...
  18. Maumivu makali ya mgongo mara baada ya tendo la ndoa

    Kwema Jf Doctors? Mpenzi wangu analalamika kuwa Kila akikutana na Mimi , baadaye hupata maumivu makali ya mgongo. Na anasema huwa inatokea kwangu Tu kabla ya hapo hakuwahi kupata shida hiyo husababishwa na nini?
  19. Video: Kwenye Tendo la ndoa unafikiri ni style Gani mwanamke wa kileo inawezesha kumridhisha?

    Wakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao. Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
  20. Vyakula vya kuboresha sehemu za Siri za mwanamke na kuongeza ubora WA tendo la ndoa

    Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini. Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…