Naweza nisiwe katika jukwaa maalum ila nina maswali ninataka nipate majibu yake.
Kwa mgonjwa wa moyo, anaweza kufanya mapenzi na mkewe? Kama ndiyo, ni kwa utaratibu upi? Kama sio, jawabu ni nini ili iwe ndio?
Je, pia kuna hatari zozote zile, kama ameshaoa?
Anyways, changamoto zao ni zipi...