Amani iwe kwenu watu wa MUNGU
Serikali ijiandae kwa janga kubwa ambalo liko mbele yetu ndani ya mwaka huu
Kuna tetemeko kubwa sana la ardhi litaipiga inchi yetu litaipiga Dunia
EARTHQUAKES
EARTH POWER
EE BWANA YESU KRISTO tusaidie
AMINA
SAYUNI BOY
Nilitembelea maeneo ya kariakoo juzi nikaona mazingira yaliyopo yale majengo ya maghorofa yalivyo kwa kweli yanitia wasiwasi kuhusu uimara wake kwamba huwenda yakaja kudondoka zaidi na kuuwa watu ukiachana na umri wa majengo yale na jinsi yanavyo lemewa uzito na wingi wa watu wanao yatumia...
Leo,Israel imefanya shambulizi la anga kwenye kambi ya jeshi la Urusi katika mji wa TARTUS imesababisha mtikisiko mkubwa wa Ardhi ambao umesikika umbali wa Kilometa 800.
Wataalamu wa kijeshi wanasema,huenda mlipuko huo umesababishwa na Vilipuzi vilivyokuwa vimehifadhiwa mahali hapo.
Jeshi la...
Majanga ya asili duniani yapo na yanaweza kutokea muda wowote. Kuna maeneo mfano Asia nchi kama za Japan, China, Indonesia, Uturuki, Iran n.k wao matetemeko ya ardhi ni sehemu ya maisha, nchi kama Marekani wao vimbunga ni sehemu ya maisha. Hizi nchi wanajipanga sana kupunguza madhara ya haya...
Tamasha la Rapa wa Marekani, Travis Scott lililofanyika usiku wa jana mjini São Paulo, Brazil limesababisha mitetemeko iliyofanana na tetemeko la ardhi hadi umbali wa vitongoji sita kutoka eneo la tukio.
Mitetemeko hiyo kutoka kwenye tamasha lililouzwa tiketi zote, lililofanyika Allianz Park...
uwezo wa wanyama kutambua pale majanga ya asili
yanapokaribia kutokea ni wakushangaza sana...
wengi tumewahi kusikia baadhi ya mambo kama vile tembo maeneo ya ufukweni walivyokimbilia kwenye miinuko muda mfupi kabla ya Tsunami,
Jinsi Mbwa wanavyoingiwa hofu na kubweka hovyo muda mfupi kabla ya...
Wasalaam,
Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushindwa kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 pm almost 30 seconds kumetokea tetemeko la kutisha maeneo ya, Ilboru na maeneo ya jirani mjini Arusha, Kuna mtu mwengine aliye shuhudia hili?
Wasalamu.
Nipo mapumziko mkoani Tabora wakuu, tetemeko ndio kwanza limemalizika kupita hapa mkoani Tabora.
Vipi huko kwenu hali ipoje, na hakuna madhara..?
Pia soma:
Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa wa Songwe
Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa wa Songwe
Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani...
Majiria ya saa saba na dakika ishirini na moja hivi (7:21) leo tarehe 5 June 2024 limepita tetemeko dogo la ardhi hapa Moshi vijijijji maeneo ya Kilema (haijajulikana maeneo mengine).
Mtikiso huo uliodumu kwa sekunde moja hivi haukuwa na madhara yoyote na hata hivyo kuna uwezekano kuwa watu...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikiri wazi kuwa Tangia nimepata fahamu vyema mpaka hapa nilipofika sijawahi kushuhudia Tetemeko kali la Ardhi kama nililoshuhudia usiku huu wa manane. Ni Tetemeko kali,,kubwa na la ajabu sanaa kuwahi kushuhudia.limetetemesha na kuitikisa nyumba mpaka nikaona mlango...
Hali ikoje huko uliko?
Hapa Moro limepita tetemeko la ardhi na dakika kadhaa kabla yake wamesikika kuku, mbwa wakitoa milio iliyoashiria kuwepo kitu kisicho cha kawaida.
Tetemeko la Ardhi lenye ukubwa wa 6.2 Richa limesababisha vifo vya Watu 105 katika Jimbo la Gansu, vifo 11 katika Jimbo la Qinghai na kujeruhi wengine 250.
Imeeleza kuwa Nyumba 4,782 zimeathirika na zoezi la uokoaji linaendelea.
Mamlaka za Serikali zimetoa angalizo kuwa mitetemeko zaidi...
Tetemeko jipya la ardhi limekumba magharibi mwa Afghanistan - siku kadhaa baada ya mitetemeko miwili mikubwa katika eneo hilo kuua zaidi ya watu 1,000.
Shirika la Utafiti wa Jiolojia la Marekani (USGS) linasema kuwa tetemeko hilo la ukubwa wa 6.3 lilipiga karibu na mji wa Herat. Ilikuwa katika...
Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema.
Enjoy your day guys
Pia soma:
Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora
Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi majira ya saa 7:21...
Serikali ya Taliban imetoa taarifa hiyo baada ya Matetemeko Matatu yenye kipimo cha Richa 6.3, 5.9 na 5.5 kupiga upande wa Magharibi wa Nchi hiyo, umbali wa Kilomita 25 kutoka jiji la Herat
Tetemeko la kwanza lilipiga Jumamosi ya Oktoba 7, 2023 na kufuatiwa na mengine mawili ambapo awali Umoja...
Hawa watu huwa na roho ngumu sana, yaani tetemeko linapiga na kusababisha maafa na majanga ila wao wanawindana na kupigana, hawana muda wa kusklizia kwanza au wasubiri hali itulie.
Wanalipuana utadhani hamna kesho, hawa hawa ndio wamiliki wa dini yao aisei, na ndio lugha yao huwa tunaambiwa...
SEPT 10, 2023
Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani, hadi sasa Watu 2,012 wamefariki dunia huku wengine 2,059 wakijeruhiwa na 1,404 wako katika hali mbaya kiafya.
Shirika la Afya Duniani limesema zaidi ya Watu 300,000 wameathirika na Tetemeko hilo lililopiga maeneo kadhaa ya Jiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.