Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6.8 limetokea katika Jimbo la Sichuan, China na kuua watu 46.
Baadhi ya barabara, nyumba na miundombinu ya mawasilian iimeharibika. Eneo hilo limekuwa na kawaida ya kutokea tetemeko hasa maeneo ya Magharibi ambapo kuna milima.
---
Earthquake in...
Mida ya saa 1:11pm(19:11) Nimeexperience tetemeko la ardhi lilodumu kwa sekune 3-4.Je kuna mwingine aliyesikiia hasa katika Mkoa wa Arusha.Au ni huyu Jirani yangu ameanza mambo yake?
Tetemeko hatari sana limefanya uharibifu na kusababisha vifo vingi hadi Taliban wameomba msaada.
=============
At least 920 people have been killed and 600 injured after an earthquake struck eastern Afghanistan early on Wednesday, authorities said.
The 6.1 magnitude quake hit in Paktika...
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1, kwa kipimo cha richa, limetikisa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo na kudaiwa kusababisha vifo 130 nchini humo, mamlaka ya kudhibiti majanga nchini humo zimesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka
Inaelezwa kuwa, tetemeko hilo lilipiga takriban kilomita 44...
Wana JF
Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki waunganishe na yabdharura ya maafa kujenga miundo mbinu.
Bado tuna kumbu kumbi waliochangia maafa ya...
Taarifa mitandaoni zinaeleza kuwa leo tarehe 10 Mei, 2022 saa 9:22 mchana limetokea tetemeko la ardhi Kusini mwa Kintinku. Tetemeko hilo lilikuwa na ukubwa wa 4.30 kwenye kipimo cha Ritcher.
Pia soma:
Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora
Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi...
Tetemeko LA ardhi limeutikisa mji wa Mpanda,katavi muda huu.
Tupate taarifa zaidi please.
=====
Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 4.6 katika vipimo vya Ritcher, limeyakumba maeneo ya Katavi na Mpanda.
Bado madhara ya Tetemeko hilo hayajafahamiaka.
Ripoti za awali zinasema takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa kufuatia tetemeko la ukubwa wa 5.7 lililotokea mapema leo Kusini mwa Pakistan.
Imeelezwa, idadi kubwa ya waliopoteza maisha ni Wanawake na Watoto ambao walikuwa wamelala. Majengo kadhaa yakiwemo ya...
Habari wanafamilia wa JamiiForums.
Muda 3:48 am kishindo cha kasi sana/ tetemeko la ardhi limepita maeneo ya Arusha.
Je, kuna yeyote aliyepo Arusha amelisikia?
Takriban watu 304 wamepoteza maisha kufuatia tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.2 huku wengine wapatao 1,800 wakijeruhiwa. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Ariel Henry ametangaza Hali ya Dharura kwa mwezi mmoja
Mbali na vifo pamoja na majeruhi, Nyumba 949, Makanisa 7, Hoteli 2 na Shule 3 zimeharibiwa...
Hope mko njema,
Binafsi jana nikiawa nimetulia kibarazanii mida ya saa mbili usiku nilihisi mtikisiko wa nguvu tu uliodumu kama sekunde 10 hivi. Sikutilia maanani maana nilikua nipo bize na simu ila nilihis kama tinga tinga la kushindilia lami limepita kwa ule mtikisiko
Nikasema niingie ndani...
Jengo hili lilikua ndio sura ya mji Mkongwe Zanzibar na kivutio Kiki kikubwa cha utaliii, lakini serekali imeshindwa kulitunza.
Serekali ya Oman 🇴🇲 ilikua tayari kulikarabati lakini inaonekana wamefanyiwa urasimu na watendaji wenye tamaa.
===
Jengo la Beit al Ajaib lilijengwa na sultan wa...
Tetemeko la Ardhi lililotokea mchana wa Ijumaa ya tarehe 30 Octoba 2020 katika ukanda wa Bahari ya Aegean limeharibu miundombinu katika miji ya pwani.
Watu katika Mji uliopo Magharibi mwa Uturuki , Izmir wamekusanyika katika mitaa baada ya kuyakimbia majengo yao wakitafuta usalama. Meya wa mji...
Nasikia kuna mradi mkubwa unaofadhiliwa na mataifa ya nje ili kukarabati Shule Kongwe hapa nchini. Mradi huu hutoa pesa kwa ajili ya shughuli hii.
Shule ya Sekondari Nyakato pamoja na Ihungo ni moja ya shule kongwe na hivi karibuni zimezua mjadala. Shule hizi zilipigwa na tetemeko lililoikumba...
1. Rais uhuru kenyata alichangia wahanga million 200.
2. Serikali ya korea iliwachangia wahanga million 108.
3. Serikali ya uingereza iliwachangia wahanga billion 6
4. Askofu mkuu wa EAGT dkt brown mwakipesile alichangia million 10.
5. Mh Freeman Mbowe million 5.
6. Waziri mkuu wa india...
Wazee wenye elimu wametujuvya ya kuwa mara hii CCM inaanguka na sehemu ambayo itapigwa na chini ni Zanzibar ni baada ya kutokea tetemeko la ardhi baharini hivi majuzi, wazee hao walienda mbali zaidi na kusema hii sio dalili nzuri kwa CCM na kwa ishara hizi halina dawa wakubali tu bora nusu shari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.