tetemeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UNABII: mwaka huu nchi itapigwa tetemeko kubwa la ardhi , pamoja na ulimwengu kwa ujumla

    Amani iwe kwenu watu wa MUNGU Serikali ijiandae kwa janga kubwa ambalo liko mbele yetu ndani ya mwaka huu Kuna tetemeko kubwa sana la ardhi litaipiga inchi yetu litaipiga Dunia EARTHQUAKES EARTH POWER EE BWANA YESU KRISTO tusaidie AMINA SAYUNI BOY
  2. Majengo ya Kariakoo yanavyo jaza watu yanatia wasiwasi kuhusu uimara wake endapo litatokea tetemeko maeneo hayo watu wengi watakufa

    Nilitembelea maeneo ya kariakoo juzi nikaona mazingira yaliyopo yale majengo ya maghorofa yalivyo kwa kweli yanitia wasiwasi kuhusu uimara wake kwamba huwenda yakaja kudondoka zaidi na kuuwa watu ukiachana na umri wa majengo yale na jinsi yanavyo lemewa uzito na wingi wa watu wanao yatumia...
  3. M

    Damascus: Shambulizi la anga la Israel lasababisha tetemeko la aridhi nchini Syria

    Leo,Israel imefanya shambulizi la anga kwenye kambi ya jeshi la Urusi katika mji wa TARTUS imesababisha mtikisiko mkubwa wa Ardhi ambao umesikika umbali wa Kilometa 800. Wataalamu wa kijeshi wanasema,huenda mlipuko huo umesababishwa na Vilipuzi vilivyokuwa vimehifadhiwa mahali hapo. Jeshi la...
  4. Vipi likitokea tetemeko la Ufa au Tsunami Dar? Ghorofa za mji zitahimili?

    Majanga ya asili duniani yapo na yanaweza kutokea muda wowote. Kuna maeneo mfano Asia nchi kama za Japan, China, Indonesia, Uturuki, Iran n.k wao matetemeko ya ardhi ni sehemu ya maisha, nchi kama Marekani wao vimbunga ni sehemu ya maisha. Hizi nchi wanajipanga sana kupunguza madhara ya haya...
  5. Tamasha la Travis Scott lasababisha tetemeko São Paulo!

    Tamasha la Rapa wa Marekani, Travis Scott lililofanyika usiku wa jana mjini São Paulo, Brazil limesababisha mitetemeko iliyofanana na tetemeko la ardhi hadi umbali wa vitongoji sita kutoka eneo la tukio. Mitetemeko hiyo kutoka kwenye tamasha lililouzwa tiketi zote, lililofanyika Allianz Park...
  6. Je kuna vitu binadamu tumefichwa ila vimefunuliwa kwa wanyama ?, Jinsi asili inavyo tutahasharisha kupitia wanyama kabla hayajatokea mambo ya hatari.

    uwezo wa wanyama kutambua pale majanga ya asili yanapokaribia kutokea ni wakushangaza sana... wengi tumewahi kusikia baadhi ya mambo kama vile tembo maeneo ya ufukweni walivyokimbilia kwenye miinuko muda mfupi kabla ya Tsunami, Jinsi Mbwa wanavyoingiwa hofu na kubweka hovyo muda mfupi kabla ya...
  7. Russia yakumbwa na tetemeko la ardhi

    Russia imekumbukwa na tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.2 huku tahadhari ya tsunami ikitolewa.
  8. Tetemeko kubwa la ardhi laikumba Japan

    Ni tetemeko la ardhi la ukubwa wa ritcher 7.1, limetokea kusini mwa Japan. Tahadhari ya kutokea Tsunami yatolewa na mamlaka.
  9. Tetemeko mjini Arusha

    Wasalaam, Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushindwa kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 pm almost 30 seconds kumetokea tetemeko la kutisha maeneo ya, Ilboru na maeneo ya jirani mjini Arusha, Kuna mtu mwengine aliye shuhudia hili? Wasalamu.
  10. Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora

    Nipo mapumziko mkoani Tabora wakuu, tetemeko ndio kwanza limemalizika kupita hapa mkoani Tabora. Vipi huko kwenu hali ipoje, na hakuna madhara..? Pia soma: Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa wa Songwe Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa wa Songwe Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani...
  11. F

    Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi majira ya saa 7:21 mchana

    Majiria ya saa saba na dakika ishirini na moja hivi (7:21) leo tarehe 5 June 2024 limepita tetemeko dogo la ardhi hapa Moshi vijijijji maeneo ya Kilema (haijajulikana maeneo mengine). Mtikiso huo uliodumu kwa sekunde moja hivi haukuwa na madhara yoyote na hata hivyo kuna uwezekano kuwa watu...
  12. L

    Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa wa Songwe

    Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi kuwa Tangia nimepata fahamu vyema mpaka hapa nilipofika sijawahi kushuhudia Tetemeko kali la Ardhi kama nililoshuhudia usiku huu wa manane. Ni Tetemeko kali,,kubwa na la ajabu sanaa kuwahi kushuhudia.limetetemesha na kuitikisa nyumba mpaka nikaona mlango...
  13. Nini cha kufanya na kutofanya tetemeko likipita?

    Limepiga la 4.5 tu lakini kiwewe kilichonipata. Vipi huko yanapiga ya 7! Nini cha kufanya na kutofanya litokeapo tetemeko.
  14. Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita muda huu 18.03.2024 saa 16:16

    Hali ikoje huko uliko? Hapa Moro limepita tetemeko la ardhi na dakika kadhaa kabla yake wamesikika kuku, mbwa wakitoa milio iliyoashiria kuwepo kitu kisicho cha kawaida.
  15. China: Tetemeko la Ardhi laua Watu 116

    Tetemeko la Ardhi lenye ukubwa wa 6.2 Richa limesababisha vifo vya Watu 105 katika Jimbo la Gansu, vifo 11 katika Jimbo la Qinghai na kujeruhi wengine 250. Imeeleza kuwa Nyumba 4,782 zimeathirika na zoezi la uokoaji linaendelea. Mamlaka za Serikali zimetoa angalizo kuwa mitetemeko zaidi...
  16. Afghanistan yakumbwa na tetemeko la ardhi la tatu ndani ya wiki moja

    Tetemeko jipya la ardhi limekumba magharibi mwa Afghanistan - siku kadhaa baada ya mitetemeko miwili mikubwa katika eneo hilo kuua zaidi ya watu 1,000. Shirika la Utafiti wa Jiolojia la Marekani (USGS) linasema kuwa tetemeko hilo la ukubwa wa 6.3 lilipiga karibu na mji wa Herat. Ilikuwa katika...
  17. Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita kati ya saa 12:31 - 12:32 mchana

    Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema. Enjoy your day guys Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi majira ya saa 7:21...
  18. Watu 2,000 waripotiwa kufariki kwenye Tetemeko la Ardhi nchini Afghanistan

    Serikali ya Taliban imetoa taarifa hiyo baada ya Matetemeko Matatu yenye kipimo cha Richa 6.3, 5.9 na 5.5 kupiga upande wa Magharibi wa Nchi hiyo, umbali wa Kilomita 25 kutoka jiji la Herat Tetemeko la kwanza lilipiga Jumamosi ya Oktoba 7, 2023 na kufuatiwa na mengine mawili ambapo awali Umoja...
  19. Licha ya tetemeko la ardhi, Waarabu wa Sudan waendelea kuchinjana, hamna kuachia

    Hawa watu huwa na roho ngumu sana, yaani tetemeko linapiga na kusababisha maafa na majanga ila wao wanawindana na kupigana, hawana muda wa kusklizia kwanza au wasubiri hali itulie. Wanalipuana utadhani hamna kesho, hawa hawa ndio wamiliki wa dini yao aisei, na ndio lugha yao huwa tunaambiwa...
  20. B

    Tetemeko laipiga Morocco, zaidi ya Watu 2000 wafariki Dunia, majeruhi waongezeka

    SEPT 10, 2023 Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani, hadi sasa Watu 2,012 wamefariki dunia huku wengine 2,059 wakijeruhiwa na 1,404 wako katika hali mbaya kiafya. Shirika la Afya Duniani limesema zaidi ya Watu 300,000 wameathirika na Tetemeko hilo lililopiga maeneo kadhaa ya Jiji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…