Takriban watu 304 wamepoteza maisha kufuatia tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.2 huku wengine wapatao 1,800 wakijeruhiwa. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Ariel Henry ametangaza Hali ya Dharura kwa mwezi mmoja
Mbali na vifo pamoja na majeruhi, Nyumba 949, Makanisa 7, Hoteli 2 na Shule 3 zimeharibiwa...