Kwa mujibu wa tafiti za jiolojia tetemeko hutokea mara kwa mara, lakini mara nyingi ni hafifu mno, haisikiki na binadamu ila tu inapimwa na mitambo ya wataalamu.
Mara nyingine huweza kusababisha madhara kama uharibifu wa makazi na mali.
Tetemeko likitokea katika eneo la bahari, basi huweza...