Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC.
Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio wameujenga kwa kushirikiana na wengine kama Azam, GSM, NBC, SBS na MO DEWJI.
Credit: Nassib Mkomwa
Homa ya Mpox (Monkeypox) ni ugonjwa wa virusi unaosababishwa na virusi vya Monkeypox. Ugonjwa huu unafanana na smallpox, lakini kwa kawaida ni wa wastani na hujumuisha dalili kama vile homa, maumivu ya kichwa, uchovu, na vidonda kwenye ngozi.
Virusi vya monkeypox vinaenezwa kupitia kwa kugusa...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ali Kamwe amesema hajapokea taarifa yoyote ya yeye kufungiwa kujihusisha na masuala ya soka, kwani bado hajapokea barua kuhusu suala hilo.
Akizungumza kwenye mahojiano na Kituo cha Redio cha Wasafi FM Machi 07, 2025 Kamwe amesema hajui taarifa hizo...
Baada ya tetesi za Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kudaiwa kufungiwa (kama hukusoma bofya hapa -Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF), Mwanayanga huyo amejitokeza hadharani na kuelezea kuhusu madhara ya tetesi hizo na jinsi...
Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma.
Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda.
Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO...
Rais wa Burundi, Mhe Evariste NDAYISHIMIYE, alifunga safari kisiri siri na kwenda Kinshasa.
Kinshasa huko, alikutana na Rais wa DRC, Tshisekedi, na dhumuni la safari likiwa kudai deni la serikali ya Burundi.
Inasemekana, kila mwanajeshi wa Burundi alitakiwa kulipwa dolla za kimarekani elfu 5...
https://x.com/bless_link/status/1890707010196586948
Pichani, ni video. Inasemekana watu hao wanapelekwa uwanjani chini ya ulizni wa vyombo vya dola.
Msako mkali mjini Bujumbura, unaendelea. Wanaokamatwa, ni wale wenye lafudhi za Kinyamlenge na kinyarwanda, wanaohisiwa kuwa watutsi.
Kama...
Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini Congo kuongezea nguvu jeshi la serikali hiyo. Chanzo cha habari, Reuters, kimesema kwamba, ndege ya...
Niwape hii.
Aliyewahi kuvaa Jersey number 6 Yanga anarudi kuivaa tena msimu ujao. ✅💯
Walid na mchumba wa Hamissa wanaondoka✅💯
Winger wa Central African Republic aliye Chamazi kama Azam hawata ongeza dau kubwa naye atakuwa ni CITIZEN✅💯
Source: TRUST ME BRO / NINA WATU 😁
Kwanza naomba mapovu yanaruhusiwa na hoja zina ruhusiwa ila mniache nabii nitoe yale nayaona...
Mziki ulianza Mozambique 🇲🇿 na sasa Congo DRC 🇨🇩 wanaucheza yes the dark days in Tanzania overseas intelligence....
Upo utani unasema nyani akimuona mwanamke basi kazi anayo ila akimuona mtoto wakiume...
Msikilize huyu mtanzania!!
Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu!
Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC
Manesi wamezidiwa...
Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025.
Kauli zao zinaonyesha kushangazwa na sababu za kutekelezwa kwa mchakato huu kwa haraka na bila tahadhari ya kutosha.
Hali hii imepelekea hisia za wasiwasi miongoni...
Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto.
Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi.
Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga.
Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa...
Za ndani kuna mkakati unaandaliwa chadema kubebeshwa tuhuma za utekwaji na mauaji ya Mzee Wetu Ally Mohammed Kibao na viongozi wa CHADEMA watakamatwa na CHADEMA itafutiwa Usajili sababu kuna wana Chadema wameshaatengenezwa kutoa ushahidi wengine ni waliotekwa na kufichwa soon wataachiwa na...
Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni?
Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi kwenye umakamu
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.
Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea...
Wasalaam
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.
Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.