22 August 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania
CHADEMA imeomba vyombo husika vifuatilie tetesi za kuwepo mipango ya kuvuruga mchakato wa kuelekea katika hatua za kurudisha fomu za wagombea. Hivyo wameomba uchunguzi na hatua za haraka za kiuchunguzi zifanyike ili kama kweli mipango hiyo ipo basi...
Picha hii imewekwa kwenye akaunti yao ya Twitter huku wakiweka caption isomekayo Sauti Sol Family.
Maswali yameibuka kuwa mbon akuna Mwanaume na Mwanaume je nao ni wapenzi kama hao wa jinsia tofauti?
Kwa muda mrefu zimekuwepo taarifa za mmoja wa wanakikundi hiki cha muziki kutoka Kenya...
Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
Karibuni tuelezane Tetesi za usajili VPL na FDL.
Taja jina la mchezaji anatoka timu gani, anaenda wapi
Naanza na Charles Ilanfya (KMC) kwenda Simba
Mwamnyeto (Coastal Union) kwenda Yanga/Simba/Azam
Awesu Juma (Kagera) kwenda Yanga
Kigi Makasi (Ndanda) kwenda Dodoma Jiji
Mzee muungwana na mwenye hekima amefariki katika hospital ya Muhimbili.
========
1. Usuli:
Mh. JOB MALECELA LUSINDE, ambaye ni ndugu wa Mh. JOHN SAMWEL CIGWEYIMISI MALECELA, alizaliwa huko Kikuyu, Idodomia tarehe 10.9.1930, siku ya Ijumaa.
2. Masomo:
Mh. JOB alisoma shule ya msingi ya...
Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Mbunge wa kuteuliwa mstaafu alhaj Bulembo amesema hana mkwe anayeitwa Zitto na kwamba " wao" wanafanya starehe zao vichakani hivyo hawezi kuwa mkwe katika familia yake.
Alhaj Bulembo alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds 360 aliyetaka kujua kama Halima Bulembo ni mke wa Zitto na...
Ndio taarifa zinazosikika jijini Dodoma kwamba wabunge wote wa viti maalumu na wale wa kuteuliwa sasa wameshapata uzoefu wa kibunge hivyo chama kitawataka wakatafute majimbo wagombee.
Bunge lijalo linategemewa kuwa na wabunge wa viti maalumu wote wapya waliosheheni sifa za kisomi na ubobezi...
Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na masuala ya Afya – ICAP kutoka Chuo Kikuu cha Columbia New York, Dkt. Fernando Morales amefariki dunia
Habari zaidi kukujia punde
WASIFU WAKE (KWA UFUPI)
Dr. Fernando Morales is ICAP’s country director in Tanzania. In this role, he...
Nipo mahali nimejichimbia nasikia zakunyapia nyapia kauli aliyo itowa mh Makonda ikiwa itatekelezwa itaibua mgogoro mkubwa wakikakatiba jambo litaisumbuwa serikal na hasa ukizingatia mh Makonda yeye sii sehem ya bunge wala sio msemaji wa Bunge.
Pili mwenye Mamlaka na wabunge sio Serikal kuu...
Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi
Ngoma yake mpya iliyokaa number moja trending kwa siku kadhaa youtube akiwa na rayvanny nimekuwekea hapa chini:
Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema
"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
Fayazz ambaye alikuwa Mkuu wa Aga Khan Outreach services amefariki dunia mapema usiku wa kuamkia leo.
Fayazz ni mfamasia kitaaluma.
Kliniki zote za Dar za Aga Khan (ukiacha main Hospital) ndio alikuwa anaongoza.
Yaani jitu kisa limeweza kuafford kununua smartphone na kuweka bando basi linatiririka tu tetesi za ajabu ajabu anazojitungia kichwani kwake bila kufikiria Impact yake, eti kwamba kuna total lockdown hivyo kila mtu ajaze mahitaji yake ndani!
Jamani, hivi hayo mahitaji ya mwezi mzima huko...
Halo wadau wa celebrities forum.
Nimepata habari sehemu kuwa kijana wa Madale aka Simba, Dangote, sukari ya warembo au Diamond Platinum, alitaka kumuoa Hawa wa Nitarejea enzi hizo, lakini binti alimkataa.
Wimbo wa Nitarejea ni moja ya nyimbo ya kwanza za Diamond akimshirikisha binti Hawa...
Kilio cha wafanyabiashara kifanyiwe kazi, IGP mkuu wa kitengo cha intelijensia polisi mkoa wa kilimanjaro SP MWAIJA amekuwa kero kwa wafanyabiashara kwenye mkoa wa kilimanjaro.
SP Mwaija amekuwa akiwapatia vitisho pale ambako anakuomba rushwa na kutompatia.Mara nyingi amekuwa akuwaita ofisini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.