Kwakuwa suala la maendeleo halisubiri muda, na kiongozi wa taifa Rais Samia alisema wazi kwamba hatuwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka. Swali lililopo kwa sasa, kuhusiana na ugawaji na ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi kwa ajili ya sensa; ni je, wananchi wamepewa elimu ya kutosha...
Habari Wote.
Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro.
Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
Kila mtu anaongea kitu chake ila ipo siri kubwa sana ambayo wanausalama wanaijuwa nawamepiga kimya japo jana Mzee baba Ameamua kujilipua. "For the God Sake Putin cannot remain in Power"
Nini dunia haikijuwi na nini dunia ya majasusi wanakijuwa ambacho ni siri nzito.
Kwa wale hamjuwi basi sio...
Boss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.
Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake
Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.
Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Kiongozi mmoja mstaafu aliyehudumu katika awamu ya kwanza hadi ya nne na ambaye hayati Magufuli alisema Rekodi yake haitavunjwa amesema atamtetea Freeman Mbowe mahakamani endapo Peter Kibatala atatoa baraka zake.
Mstaafu huyo amesema anamjua Freeman na anaijua Chadema lakini pia anazijua fitna...
Kumekuwa na Tetesi toka vyanzo mbali mbali kuwa kesi ya Mbowe na Wenzake huenda ikafutwa leo.
Kwa Mujibu waTwitter wa Reporter Mpambanaji ambaye amekuwa akireport kesi hii bila kuchoka toka awali Martin Maranja Masese amesema nanukuu
" Leo kunaweza kuwa na Habari Njema wote tukasome Wagalatia...
Wanabodi,
Moja ya udhaifu mkubwa wa media yetu nchini Tanzania, ni uwezo duni kufanya analysis, ili kuzisaidia ngazi za uteuzi za CCM kututeulia Spika Bora.
Spika Job Ndugai, hakuwahi kuwa Spika Bora, bali alikuwa ni Bora Spika, na kupatikana kwake ni kutokana na kutokuwepo kwa uchambuzi...
Kama hili nililosikia lina ukweli basi hali ni tete sana katika utaratibu wa ajira sahizi. Imagine nafasi ziko 350 tu ila raia wanaowania kinyanganyiro wanakaribua 20K..
Niwatakie kila la heri wadogo zangu najua sio kosa lenu ila ndio hali ya maisha ilipofikia hapo!
Wale wenye uwezo msisite...
Wanabodi,
Declaration of interest.
Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niliomba fomu kupitia CCM kuomba kupitishwa kugombea ubunge wa jimbo la Kawe, kwa tiketi ya CCM, ila watu wanaitwa Wajumbe wakafanya yao. Tulikuwa wagombea 176, tunatafuta nafasi moja!, hivyo ilikuwa ni...
Irene wala hatoki na Rais wa Kenya kama wengine wanauosema. Irene Uwoya anatoka na Rais wa GSM AKA Mmiliki wa yanga, GHALIB.
Wana nyumba yao special kwa ajili ya kulutana na kufanya yao. Yani Irene haishi in that house ila ni kwa ajili ya kumeet tu Wakitaka kuwa free huwa wanasafirI.
Irene na...
Inasemekana bodi ya klabu ya Manchester United imeridhia maamuzi ya kumfukuza kazi Ole Gunnar Solskjær. Maamuzi hayo yanakuja kutokana na muenendo usioridhisha katika msimu wa mwaka 2021/22. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya klabu hiyo kupokea kichapo cha magoli 4 kwa 1 dhidi ya Watford...
Kwa Propaganda Machine iliyoko Yanga SC kwa Usajili wa Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata vya Mbinguni kwake Mwenyezi Mungu kutoka nchini Hispania kulihitajika kuwe na Taarifa ya Kushtua na kufanya Counter ili kuweka Mizania na kuhamisha Fikra za Watu na Stori...
Yawezekana 95% ya Vijana mnaoifuatilia na hata Kuishabikia Simba SC wengi wenu miaka yetu mlikuwa bado katika Zipu za Baba zenu wakitafakari wawalete duniani au waghairi tu.
Nimeshangaa na Kushangazwa mno kuona wana Simba SC leo wakiwa wameshtushwa na wengine hata Kuogopa baada ya Tetesi za...
Mwanamuziki Omah Lay kutoka Nigeria amefutilia mbali uvumi kuwa anachumbia aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platnumz, mwanamuziki Tanasha Donna. Alipokuwa kwenye mahojiano baada ya kutua nchini siku, mwanamuziki huyo aliweka wazi kwamba kwa sasa hana mchumba.
Hata hivyo staa huyo wa muziki alifichua...
Habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini, kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa
Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa wachezaji kama wawa yemepitiliza
Matola kwa kweli kama tunayoyasikia ni kweli basi ulaaniwe sana...
Nimepata Taarifa kutoka kwa familia moja ambao wameoa huko Mkoani Arusha zikisema walipata msiba wa Mkwe zaidi ya wiki Sasa lakini mazishi hayajafanyika kwa sababu Hospitali inadai haitotoa mwili hadi walipwe deni la matibabu. Taarifa zinadai wanafamilia wamepeleka zaidi ya nusu ya fedha na hati...
Hii ni kwamujibu wa mjumbe wa kamati kuu ya Chama kwamba ndugu yetu mzee wa darasa la uongozi na genge lake walijaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, waliratibu mbinu zote ili Samia asiwe Rais lakini wakashindwa,
kwa hali hii natamka rasmi kwamba sisi vijana wa CCM hatumtaki Polepole kwenye chama...
Uteuzi wa Dk Stergomena Tax kuwa mbunge, unaibua hisia kama ni mwanzo wa Rais Samia Suluhu Hassan kupangua Baraza la Mawaziri.
Dk Stergomena, mwanamke mwenye heshima kubwa kwenye uga wa kidiplomasia, anaingia bungeni kipindi ambacho Taifa halina Waziri wa Ulinzi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa...
Habari zinazozunguka mtandaoni hivi sasa ni kwamba mshambuliaji mahiri wa ureno na klabu ya Juventus anaweza kuhamia klabu ya Manchester City kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili nchini Uingereza.
Inasemekana wakala wa mshambuliaji huyo Jorge Mendes anajaribu kuangalia uwezekano wa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.