tetesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Wizara ya Afya na TBD watoe tamko kuhusu tetesi za dawa hizi za mbu

    Wanajukwaa kuna taarifa zinazidi kuenea kwamba hizi dawa zina sumu ya kuua. Hizo ni dawa za kuchoma kwa ajili ya kuua mbu. Kuna clip inatembea kwenye groups za WhatsApp ikitutaka kutotumia dawa hizi. Natoa wito kwa wizara ya afya na TBS kutoa tamko kuhusu ukweli wa dawa hizo. Ikibainika zina...
  2. T

    Tetesi: Habari zakutisha, Marais wawili wa mataifa makubwa kiuchumi hawajulikani walipo ila mmoja inasemekana kapinduliwa

    Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake...
  3. Zainab j

    Tetesi: Nasikia kuna nyumba zinatakiwa kuvunjwa maeneo ya Mbuyuni Tegeta ili kupisha stendi ya Mwendokasi

    Wakuu Kuna dada ana mji wake na gesti maeneo ya karibu na mizani ya pale njia ya tegeta, Ananiambia kuanzia pale mbuyuni upande wa kulia yanapopaki maroli kwenye eneo la Rupia,na nyumba zote za upande hule kwendea Hadi kule upande wa chini karibu na hilipo mizani ya TANROAD, Kuna nyumba...
  4. Lady Whistledown

    Tetesi za Mapinduzi zaikumba tena Burundi

    Wakati hali ikionekana kuwa shwari, mvutano wa kisiasa umeongezeka tena, kufuatia tuhuma za baadhi ya Viongozi Wakuu kupanga njama ya kumng'oa madarakani Rais Evariste Ndayishimiye Mnamo Agosti 2 Rais Ndayishimiye, alipokuwa akiwahutubia maafisa wa Serikali alionya kuwa “baadhi ya watu” ambao...
  5. T

    Tetesi: Kesho Kenya Mungu anapinduwa meza ya mzaliwa wa kwanza kama alivyofanya kwa Esau akampa Yakobo

    Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau... Nihivi kuna story moja kwenye Bible inatisha sana ambapo Mungu aliunyang'anya uzaliwa wa kwanza wa Esau...
  6. JanguKamaJangu

    Wachezaji Man United walifurahia kusikia Ronaldo ameomba kuondoka

    Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo. Sababu ya hali hiyo ni kuwa wachezaji wanaamini Ronaldo (37) amepoteza nguvu ya ushawishi kikosini na wanahisi amekuwa mzigo zaidi...
  7. JanguKamaJangu

    Chelsea yakubaliwa dili la kumsajili Wesley Fofana

    Chelsea imefikia makubaliano na Leicester City juu ya ada ya Paundi Milioni 70 kufanikisha dili la kumsajili Wesley Fofana (21) baada ya awali dili hilo kukwama mara tatu. Kocha wa Leicester, Brendan Rodgers alimpa adhabu beki huyo kufanya mazoezi na kikosi cha vijana cha U23 baada ya Fofana...
  8. N

    Tetesi nzito za kutisha: Kambole out, Manzoki in, Barbara shauri zako

    Dada msomi, dada mzungu ,msouth america, mlatino , m colombia, miss gonzalez, masihara yakizidi hutumbua usaha, the chickens are coming home to roost Hizi tetesi kama ni kweli narudia tena kama ni kweli aisee utakuwa kwenye wakati mgumu sana , yaani hadi nakuonea huruma kwa kweli najaribu...
  9. mawaridi

    Kocha wa Yanga, Prof Nabi asaini mkataba mpya Yanga

    Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) usiku huu imetangaza kumsainisha mkataba mpya Kocha wao Nasredeen Nabi Prof Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili utakaomuweka Yanga mpaka mwaka 2024 Nabi kusaini mkataba huo mpya anamaliza uvumi uliokuwa unaenea kuwa...
  10. heartbeats

    Tetesi: Kama huna cheti cha CO-19 ajira sensa sahau

    Ndo ipo ivoo kwasababu 1.utakutana na watu wengi Uzi tayari
  11. B

    Usajili wa Wahandisi ERB waendelea kukwama kisa bodi iliyopo imemaliza muda wake. Rais tunaomba uteue Mwenyekiti mpya wa Bodi

    Wakuu poleni na majukumu. Kuna ndugu yangu ameomba kufanya Usajili wa kuwa mhandisi. Amewasilisha report zake katika bodi ya maengineer yaani ERB. Kila akiulizia Usajili umefikia wapi, anaambiwa bodi ya ERB iliyopo imemaliza muda wake. Ombi kwa RAIS, tunaomba uteue mwenyekiti mpya wa bodi, na...
  12. Jidu La Mabambasi

    Tetesi: Kigogo aliyeruhusu wanyama kusafirishwa nje ya nchi ameshapigwa chini!

    Kongole Rais Samia! Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa. Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na taratibu za wakuu wake , kutoa vibali kwa makampuni fulani fulani kusafirisha wanyama nje ya nchi...
  13. U

    Tetesi: Aggy wa Feitoto adaiwa kuwa Mjamzito

    Nimekuwekea ujumbe husika na picha
  14. Suley2019

    Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Salaam Wakuu, Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine. Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
  15. chiembe

    Ili kupunguza tetesi za rushwa, Jaji Mkuu na Mahakama iwaondoe au iwalipe vizuri wasaidizi wa Majaji

    Kiuhalisia, wasaidizi wa Majaji ndio huandika hukumu, mishahara yao midogo, na inabidi waendelee kuishi. Kuna tetesi kwamba wananchi wamefahamu kwamba hawa ndio huandika hukumu, zikiwemo za kesi za mauaji, na wanaishi mitaani na wananchi wa kawaida. Katika kuishi huko, basi Kuna tetesi kwamba...
  16. K

    Mtu wa ajabu aliyeonekana kuzungumza na Rais Putin aibua tetesi za mwisho wa Putin kuwa karibu

    mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
  17. B

    Kuna uwezekano mkubwa Rais Samia kuonana na wakuu wa Serikali ya Marekani akiwamo Rais Joe Biden

    Kuna uwezekano mkubwa wa Rais Samia kuonana ana kwa ana na wakuu wa Serikali ya Marekani akiwamo Rais Joe Biden kwenye ziara yake hii. Ifahamike mambo ya ugaidi wa kubambikiziana tumeshaachana nayo na tumeonyesha nia njema ya kuzungumza na wapinzani katika hatua mbalimbali. Ikumbukwe pia kuna...
  18. B

    Tetesi: Wale Askari waliomfanyia fujo barabarani Raia, wavuna walichopanda

    Kumekucha. Yasemekana wale wababe wasiojua mipaka ya kazi yao, tayari yamewakuta: Habari hii kwa sasa inazunguka kama moto wa nyika. Hii ni kumhusu yule dogo aliyewekwa mtu kati, hadi kumkumbuka mjomba wake katika familia wala si serikali. Kama hii itakuwa si wao wenyewe katika kutaka...
  19. T

    Kiongozi mwenye ushawishi mkubwa ndani ya serikali ila huwezi kumjua

    Huyu ndio kiongozi mwenye ushawishi mkubwa tangu kwenye maamuzi mpaka kile anaongea Rais ktk maswala ya kitaifa ukiondoa maneno mengine Rais anaweza chomekea. Ni kiongozi ambaye huwezi kumjua wala kumdhania ndani ya Ikulu Chamwino na Magogoni. Huyu kiongozi unaweza kumjua tu kutokana na ulinzi...
  20. F

    Tetesi: Luhanga Mpina kuhamia upinzani 2025. Lipo lengo maalumu linapangwa

    Habari zenu wadau wa JF siasa. Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025 Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya...
Back
Top Bottom