tetesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Tetesi za usajili Ulaya kabla ya dirisha kufungwa Septemba 1, 2023

    Dirisha la usajili Ligi Kuu kubwa Ulaya linatarajiwa kufungwa Saa 5:59 Usiku wa Septemba 1, 2023, kuna taarifa nyingi kuhusu usajili, hizi ni baadhi Chelsea ina nafasi kubwa ya kumsajili kiungo wa Brighton, Moises Caicedo (21) kwa Pauni Milioni 115 (Tsh. Bilioni 364) ambaye pia anawaniwa na...
  2. Elly official

    Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara. Jambo hili limenisikitisha sana...
  3. LIKUD

    Tetesi: Barbara kutua Yanga

    Tetesi bado hazijaweka wazi anakwenda Yanga kufanya kazi gani but zinasema anakwenda Yanga na muda si mrefu atatangazwa rasmi. Barbra: Karibu sana kwenye klabu yako ya tangu utotoni kule simba ulikuwa kikazi tu ila mapenzi yako yapo Yanga.
  4. LIKUD

    Tetesi: Dili la Mayele kwenda Pyramid lina asilimia kubwa ya kubuma, huenda akaungana na Feitoto Azam

    Kwa jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana hao Pyramid hawana hata shida na Mayele kihivyo. Ni hivi za nyuma ya kapeti kutoka mitaa ya jangwani ni kwamba: 1. Mpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza hata senti tano kwenye akaunti ya Yanga kwa ajili ya malipo ya kumnunua Mayele. 2. Yanga wamewapa...
  5. C

    DOKEZO Balozi Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa ubalozi na kukamatwa!

    Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari. Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha. Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe...
  6. carnage21

    Tetesi: Wanaume wengi hatupendi kutumia kondomu

    Kwenye #SupaBreakfast ya @EastAfricaRadio Baada ya Waziri wa Afya @ummymwalimu kutaja mambo matatu yatakayo maliza ukimwi, Babu @david.gumbo.5 ametoa maoni yake yanayochangia ugonjwa huo kuenea. "Nimefanya research ndogo asilimia kubwa ya sisi wanaume hatupendi kutumia mipira (kondomu) mwanamke...
  7. D

    Tetesi: Paul Kagame nyuma ya DP world

    Wajumbe, Hili dude la mkataba wa DP World na Serikali ya Tanzania ina makando-kando mengi. Katika kufukunyua nimekutana na wavaa miwani mieusi tena ni PSU. Huyu Bwana amenidokeza kwamba katika uwekezaji huu Rwanda ya Paul Kagame anayo hisa 17% katika kampuni ya DP World na ndiye amekuwa na...
  8. R

    Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

    By MMM Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh. Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete. cae no. ICSID No. ARB/17/33 Serikali ya...
  9. Mtu Asiyejulikana

    Tetesi za Fabrice Ngoma kutekwa na Simba

    Hizi habari si za kweli. Simba hawawezi mchukua Ngoma. Huyu anakuja cheza Yanga piga ua. Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
  10. MK254

    Tetesi: Putin aikimbia Moscow

    Wagner wameapa kusimika rais mpya, wapo njiani kuelekea Moscow huku tetesi zikivuma kwamba Putin ametoroka.... Has Putin fled Moscow already? Reports claim plane linked to Russia's leader flew north 'then switched off its transponder' after Wagner Group boasted: 'Soon we will have a new...
  11. T

    Tetesi: Tanzania imezuia malori 500 ya mahindi wakati mlisema mnachakula cha kutosha

    Tulipo sema Kuna mtu anataka sifa ambazo baadae zitakuwa kilio kwa Taifa tulikuwa na uhakika yakuwa ndivyo itakavyokuwa. Haya sasa huko mpakani Holili Shehena ya mahindi imezuiwa magari zaidi 500 hayana vibali ku export mahindi while tulisema chakula kipo nawatu wauze kwa kuwa ni jasho lao...
  12. T

    Baada ya Bunge la bajeti kuisha Kuna jambo litatokea

    Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika. Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea. Pointe to remember Aug2023 Mabadiliko ya...
  13. Suley2019

    Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  14. JanguKamaJangu

    Tetesi za Usajili: Lionel Messi kutua Saudi Arabia kwa Trilioni 1.5, Baba yake akanusha

    Awali ilidaiwa kuwa mchakato wa nyota huyo wa Paris Saint-Germain, Lionel Messi (35) kusaini mkataba wa Pauni Milioni 522 (Tsh. Trilioni 1.5) umekamilika na anaweza kujiunga na Klabu ya Al-Hilal kuanzia msimu ujao. Jorge ambaye pia ni Wakala wa Messi amedai hakuna mazungumzo yoyote kuhusu...
  15. F

    Tetesi: Mtangazaji Salim Kikeke anarudi nyumbani Kuwa Mkurugenzi Azam Media

    Wakuu mpo poa? Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu. Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
  16. JanguKamaJangu

    Tetesi: Mason Greenwood hana mpango wa kuichezea Manchester United tena

    Inadaiwa mshambuliaji Mason Greenwood ameitoa kauli hilo kwa marafiki zake Kutokana na kutofurahishwa na kuendelea kuwekwa nje wakati anataka kucheza. Greenwood (21) alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya ubakaji ambayo yalifutwa Februari, lakini bado yupo nje ya uwanja baada ya klabu kudai...
  17. Mr Dudumizi

    Tetesi: Dar es Salaam SGR Terminus kupewa jina la Rais Samia

    Habari zenu wana JF wenzangu, Hizi ni tetesi kutoka kwa mtu wa ndani ya kitengo fulani, ambapo amesema mpango huo wa kuipa Terminus hiyo jina la raisi Samia utafanyika siku ya ufunguzi wa safari za train hizo zinazotumia umeme. Mdau huyo amesema kwamba lengo kuu la kuipa Terminus hiyo kubwa...
  18. T

    Mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji

    Igweeeeeeeee! Tetesi ni kwamba Watanzania tujiandae kisaikolojia na kama vile wahenga walivyowahi sema "Ukiona mwenzako ananyolewa basi wewe zako tia maji". Ndugu za Watanzania, hapo nchi jirani pametokea jambo la kushangaza kidogo. Jambo ambalo kama ukiliangalia kwa jicho la tatu huwezi kusita...
  19. Mr Dudumizi

    Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

    Habari zenu wana JF wenzangu. Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani. Japo mimi sio mwanasiasa, lakini ningependa kumshauri ndugu yetu Diamond...
  20. Expensive life

    Utabiri wangu kuelekea robo fainal champions leage na shirikisho Simba dhidi ya mamelodi Yanga dhidi ya pyramid

    Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu. Simba sc vs mamelodi Pyramid vs young Africans.
Back
Top Bottom