Mchezaji yeyote wa Kigeni anayesajiliwa katika Ligi Kuu atalipiwa ada maalum ya Sh. 8,000,000 (milioni nane) kwa msimu ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza.
Kwa wacheaji 12 ni Sawa na 96M,
ni pungufu kidogo na pesa anayopata mshindi wa Ligi ya NBC.
CHAMBUA
Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Aziz Ki amechukua tuzo ya mchezaji bora wa msimu wa 2023/2024.
Tuzo hii kwa Aziz Ki inakuwa tuzo ya tatu usiku wa leo, akiwa amechukua tuzo ya Kiungo bora wa msimu, Mfungaji bora wa msimu na pia ameingia kwenye kikosi bora cha msimu.
Aziz Ki alikuwa anawania...
Nakumbuka toka mwaka 1995 kuna huyu mzee Juma Magoma amekuwa na migogoro ndani ya club ya Yanga Afrika.
Huyu mzee Magoma anadai anaipinga katiba ambayo alikuwepo na kukubali ipitishwe, ila ameonekana anatengwa kwenye meza ya mfalme, wakati wa uongozi ndg George Mpondela aliwahi kuleta vurugu...
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Almas Kasongo amesema msimu ujao 24|25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu.
Amesema, mfumo wa (VAR) utafungwa kwenye baadhi ya viwanja vinavyokidhi vigezo Nchini. Katika viwanja vya awali ni Benjamini Mkapa, Azam Complex, Mkwakwani Tanga na...
TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba ukavunjwa na kila mwenye akili timamu alishangaa.
Jana amepuuza protokali za mchezo wa final wa kila...
1. TATIZO LINALOIKUMBA TIMU YA TAIFA YA MPIRA WA MIGUU TANZANIA.
Kiujumla timu ya taifa ya Tanzania imekuwa na muendelezo wa kiwango kibovu ambapo kizazi cha kuanzia miaka ya 1990 hakijawahi kuishuhudia timu hii ya Taifa katika kiwango bora hasa katika mechi za mashindano. Timu hiyo ya Taifa...
"Ligi ilikuwa ngumu kwa sababu ilipaswa tushuke na ikiwezekana tupotee kabisa Duniani, Viongozi wa Bodi ya Ligi walikuwa wanahitaji sana hela hata tulivyokuwa ligi kuu nasikitika kuongea haya lakini hakuna namna , huku chini kuna uozo kuna watu pale Bodi ya ligi wameukamata huu mpira kama mali...
Wakili Salum Nduruma ambaye anamuwakilisha mchezaji Feisal Salum katika mgogoro wake wa kimkataba dhidi ya Yanga amesema wamepokea nakala ya maamuzi ya Kamati na mteja wake hana mpango wa kurejea Yanga kuendelea kuichezea timu hiyo.
“Feisal Salumu mpaka sasa hivi hana mpango wa kurudi na...
Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu hayupo lakini tumbo bado ni changamoto kupona.
Kama kuna mtu anaijua tiba kamili ya huu ugonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.