tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

    Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue. Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani? Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
  2. N

    Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

    Msimamizi wa Feisal Salum, Bi. Jasmine Razack asubuhi hii amesema kuwa, tayari Feisal amelipa pesa ya awali na amefungua jalada (CAS). Amesema, kwenye kesi hiyo, Feisal hajaishitaki Yanga huko CAS, ameishitaki (TFF) kwa kushindwa kuvunja mkataba wake na Yanga na kumuamuru arejee Yanga. "Shauri...
  3. SI KWELI Wallace Karia Rais wa TFF asema si vyema Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video fupi ikionesha Rais wa TFF Wallace Karia akisema kwamba itakuwa si vizuri kwa Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo. Je, kuna ukweli wowote wa juu ya hili? Tusaidieni kumhoji Picha1: Sehemu ya Tweet inayomlaumu Rais Karia kwa kauli...
  4. Tuzo za TFF - kiungo bora bila Khalid Aucho kuwepo ni kichekesho

    Sijajua vigezo wanavyotumia TFF lakini hata kwa kipofu asiyetazama mpira na kusikiliza kwa Radio anajua kazi kubwa aliyoifanya Khalid Aucho, TFF inathubutuje kutomtaja katika orodha ya viungo bora? Ushauri kwa TFF isilazimishe kubalance hizi tuzo ili kuweka usawa, Bali watumie uhalisia wa mambo...
  5. Nimesikitika kuona Beki Djuma Shaban na Zanzibar finest Ibrahim Bacca hawapo kwenye orodha ya tuzo TFF

    Nimeshangaa sana kuona hao mabeki hawapo katika orodha ya mabeki bora katika msimu huu wa NBC PL 2022/2023, Pamoja na michango yao mikubwa sana katika timu zao. Mbali na hayo, Hivi unaanzaje kuwataja viungo bora bila kumtaja Khalid Aucho? Au TFF mmeamua kuweka balance tu bila uhalisia? Kwa...
  6. Rais kuiagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea fainali alimaanisha nini?

    Rais wetu amefurahi sana hatua iliyopigwa na Yanga kwenye mashindano ya CAF hadi akaagiza Yanga wepewe 20m kwa kila goli watakalofunga kwenye fainali na wapewe ndege ya kuwapeleka na kuwarudisha Algeria. Pamoja na hayo amewaagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea mechi za fainali. Hapa pa...
  7. Tff na Bodi ya Ligi imeisadia Yanga kushinda ubingwa msimu wa 2022/23

    Habari kwenu nyote. Katika kile ambacho TFF na Bodi ya Ligi inakipinga kila siku suala la upangaji wa matokeo,lakini wao kwa namna moja ama nyingine wamekua wakikifanya kwa makusudi kabisa bila kushtakiwa na mtu yeyote. Hivi inawezekana vipi katika hali ya ushindani wewe unapanga ratibu Simba...
  8. O

    EDO KUMWEMBE: Miezi sita ya Fei Toto kucheza soka viunga vya TFF

    JINSI ambavyo maisha yanakwenda kasi. Niliwahi kusema mahala. Hatimaye tumefika Mei tukiwa na sakata la Fei Toto mkononi mwetu. Anaitwa mwanasoka lakini hachezi soka la ushindani tangu Desemba mwaka jana. Kwa sasa Fei amekuwa maarufu katika viunga za TFF kando yake akiwa na meneja wake pamoja...
  9. Yanayoendelea ya Fei Toto huko TFF

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) jana Mei 4, 2023 ilisikiliza shauri la mchezaji Feisal Salum 'Feitoto' aliyewasilisha malalamiko akitaka kuvunja mkataba na waajiri wake Young Africans kupitia barua yake ya tarehe Machi 6, 2023. Baada ya...
  10. K

    Feitoto akwama tena TFF, arudishwa Yanga

    Hili sakata la Feitoto nadhani sasa lifike mwisho maana linazunguka hapo hapo kila siku na Fei anajifanya kichwa ngumu.
  11. Shauri la Feisal Salum 'Fei Toto' kusikilizwa leo TFF

    Picha: Feisal Salum 'Fei Toto' Shauri la FEISAL SALUM na YANGA SC linaenda kusikilizwa leo tarehe 04.05.2023 kupitia kamati ya sheria na hadhi za wachezaji. Taarifa kutoka ndani ya TFF zinaeleza shauri hili huenda litasikilizwa majira ya saa 10 alasiri. Sababu ikiwa ni mawakili wa Yanga SC...
  12. Kwa hili TFF hamtoibeba tena Kitayosce FC

    Juzi zimetoka taarifa za upangaji matokeo kati ya mwenyekiti wa timu ya kitayose bw. Yusufu Kitumbo na baadhi ya wachezaji wa Fountain gate. Clip za maongezi hayo zimesambaa pamoja na miamala ya fedha kwa njia ya simu zimeonekana. Najua Uongozi wa Fountain ushapeleka vielelezo hivi takukuru na...
  13. DOKEZO Yusuph Kitumbo mkurugenzi KITAYOSCE Anayetoa rushwa michezoni kwa kurubuni wachezaji. TFF Chukua hatua

    Yusuf Kitumbo ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka cha Mkoa wa Tabora ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora kwa mara nyingine yupo katikati ya tuhuma za rushwa na kupanga matokeo kwa ligi daraja la kwanza. Alifungiwa mwaka 2016 na utawala wa Jamal Malinzi kwa kupanga...
  14. TFF, FKF na FUFA wapongezwe kwa hili.

    Uamuzi wa Kenya, Uganda na Tanzania kushirikiana kutaka kuandaa mahsindano ya AFCON kwa pamoja ni uamuzi mzuri sana ambao utasaidia kuendelea kuzitangaza nchi zetu siyo kimpira tu bali hata kiutalii. Tuwapongeze sana kwa ujasili huo.
  15. K

    TFF inavyoiba mapato kwa kushirikishana na Serikali!!

    Wadau naomba nijielekeze kwenye mada tajwa. Wengi tunajua mechi za Simba na Yanga huwa ni tukio la kitaifa kama sio kimataifa na hugusa watu wengi,bahati mbaya naona Kuna kikundi kichache daima kinatumia mgongo wa Simba na Yanga kufanya wizi wa mapato. Kuelewa hili kwanza tutazame taarifa...
  16. TFF inapenda dezo kutoka kwa Simba na Yanga

    Mechi imeingiza 410M then mwenyeji anapewa 100M na ushee? Karibu 240M zimepotelea kwenye makato. Yaani makato ni makubwa kuliko mtaji. Biashara kichaa! Hata mchanganuo haueleweki. Uwanja 47M, gharama za mechi 22M, ticket 22M. What the difference? Kama uwanja na ticket vimelipwa hizo gharama...
  17. H

    TFF imetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023

    Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
  18. TRA mnawaibia TFF na timu za mpira kwa kuwakata VAT badala ya kusubiri iletwe kwenye ritani za mwezi husika

    Kwa kawaida mlipa kodi aliyesajiriwa kwenye VAT hutakiwa kulipa au kudai kurejeshewa tofauti ya kodi kwenye mauzo na kodi kwenye manunuzi kutegemeana na ukokotozi. Kwa taarifa hii ya TFF inaelekea TRA imechuka 18 % mapato yote ya mchezo wa siku husika. Kwa maoni yangu hii ni kinyume cha sheria...
  19. M

    Nasubiria kusikia Adhabu Kali kutoka TFF kwa Mshambuliaji Mayele na Kocha Nabi

    Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa. Najua kuna Mazuzu ( Majuha ) watamtetea kuwa hakufanya hilo Tukio ila Kisheria siyo lazime mpaka awe ametenda hicho Kitendo ila...
  20. Kesho ni derby ya Kariakoo, lakini TFF haijawatendea haki waislam

    Ni logic ndogo tu na ya kawaida, Simba wamechezeshwa mechi SAA 4 usiku kwa SAA Morocco siyo kwamba wamefanyiwa figisu ila ni kuheshimu tu mfungo wa Ramadhani. Je TFF hawajaliona hili? wachezaji na mashabiki waliofunga wanafuturu SAA ngapi? Mimi siyo mwislamu lakini najuwa adhana ikipigwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…