TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.
Simba SC tunaomba robo final na Yanga Mapinduzi Cup.
Tutawadhihirishia zile tano za Yanga sio za halali bali imetokana na mambo mawil.
1. Waliwaonga baadhi ya wachezaji wa Simba SC kwa pesa ndio maana wangine wamewekwa benchi mpaka sasa na wangine tunawatafunia mbinu tuwatimue.
2. Yanga ni...
Hakuna mchezaji aliye na uwezo kama Sure Boy ambaye anaweza kuleta umoja kwa Timu ya Taifa ya Tanzania AFCON.
Tunaiomba TFF imwite Sure Boy na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu wenye uwezo wa kushika dimba ni Sure Boy na Aucho tu. TFF, tafadhali mwalikeni Sure Boy, mwiteni Sure Boy.
Nimeamka tu nimekutana na hii kutoka mwananchi. Huyu ni dogo national team chini ya miaka 15, mashindano yamefanyika Uganda yameisha hivi karibuni. TFF wanadai wapo katika mchakato wa hundi. Vipi kuhusu mwaka jana kulipwa 50,000.
Hii imenikumbusha ndugu yangu alichaguliwa national team beach...
Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.
Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie. Camera hiyo moja inatembezwa Kila engo kama tiara.
Kiukweli haivutii kutazama.
Ni kama...
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ chini ya uongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) wanaunga mkono Kampeni ya PIGA MPIRA SIO MWANAMKE.
Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali THAMANI WOMEN TANZANIA
(thamani.tz) inaendesha kampeni hiyo ya kupaaza sauti dhidi ya ukatili kwa wanawake na...
Unajua moja ya shida ya nchi hii ni serikali na wanasiasa kuwaonea donge watu na taasisi binafsi pale zinapoonekana kupata ushawishi, umaarufu na nguvu kuwazidi wao. Hili limekuwa ni tatizo kubwa kuliko wengi wanavyodhani au kufikiri. Matokeo yake wamekuwa wanatumia nguvu kubwa kutengeneza watu...
TFF wamekua wazembe sana kwenye suala la muda wa mechi za TAIFA stars. Hii ni mechi ya pili wanapangiwa muda mbovu na CAF wanakubali bila hata kuhoji.
Mechi saa nne usiku ni rafiki kweli kwa nchi yetu na usafiri wa Dar Es Salam? Hawaoni kuwa sio rafiki kwa mashabiki na kwa ushangiliaji wa mechi...
Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,
Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Ni kama vile Young Africans ni fupa la Sangara ambalo limenasa kwenye kolomeo la zee lenye husda liitwalo "TFF".
Kibaya zaidi fupa hilo limekwama na halimezeki wala halitoleki iwe kwa winchi ama kamba za chuma! Fupa hilo la Sangara linaendelea...
Mashabiki wa Simba wamempiga shabiki wa Yanga uwanjani lakini TFF haikutoa adhabu kwa Simba badala yake imewatafuta waliompiga TU na kuwapa adhabu hao tu. Kwa timu nyingine TFF haitafuti mashibiki wao waliokosea uwanjani badala yake wanatoa adhabu kwa timu nzima kwa makosa ya mashabiki wao...
Kwakweli Hawa watu ni makatili sijawai Kuona, walikuwa wametega mtego mbaya sana dhidi ya yanga lakini wameferi na wameshindwa vibaya sana.
Hii ratiba aikupangwa kwa bahati mbaya bali walikuwa wamedhamilia na walikuwa na Nia mbaya kabisa, yanga kacheza na Azam baada ya siku tatu kacheza na...
Tupo zama za kidijitali,
Hakuna uongozi wa hovyo kama huu wa sasa pale msimbazi, kuanzia uongozi wote mpaka mashabiki wana mzimu wa kimasikini( umasikini wa fikra).
Mfano mchezaji flani alikua simba akaondoka akaenda aly ahly akatoswa kutokana na kushuka kiwango mnamrudisha wa nini...
TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland.
Home kit
Away Kit
Third Kit
Sina mengi, lakini nimesikitishwa na kilio cha haji Manara. Huyu ni mtanzania mwenzetu, analipa Kodi na anayohaki ya kuishi kwa uhuru ikiwemo ukiendesha biashara halali.
Lawama zake anazielekeza kwa Wallace Karia kama mtu anayemhujumu na kumwekea chuki.
Mbaya zaidi imefikia hatua TFF...
Habari ndiyo hiyo upumbavu wa kufungua mageti saa nane na huku mkijua mifumo yenu ni slow na niyakizamani mtaleta maafa siku ya ijumaa ! Mtu akitoa pesa yake aheshimiwe ,utapeli wakupiga watu bila sababu tutakuja kutoka na roho ya mtu ! Nimewapa onyo mjifanye wajuaji ,
Sijui ni inferiority au ni kukosa uthubutu.
Nimekuwa nikishangazwa na TFF kuendelea kung'ang'ania michezo ya kirafiki na mataifa yaleyale kama Burundi, Malawi, Kenya sijui Ethiopia kila kukicha.
Sibezi uwezo wa nchi hizi isipokuwa ifike mahali tutafute exposure na uzoefu mpya toka sehemu...
Baada ya Singida Fountain Gate FC kupoteza mchezo wao wa Ligi ya NBC Premier League wakiwa nyumbani dhidi ya Simba, kupitia mitandao ya kijamii walitoa malalamiko yao wakiituhumu TFF na Ligi ya Bodi kuwapangia refa kwenye michezo wanayokutana na Simba ambaye amekuwa akiibeba timu ya Simba SC...
Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) limesema bado linaendelea na harakati za kuhakikisha Benard Kamungo anaitumikia Tanzania kwenye michuano mbalimbali
Mkurugenzi wa ufundi wa TFF amesema hata kama Benard Kamungo atacheza timu ya Taifa ya Marekani chini ya umri wa miaka 23 kwenye michuano...
Nimekuwa mkosoaji mkubwa wa TFF kutokana na sababu za waamuzi na upendeleo, lakini mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Karia amefanya na ziada kwenye mpira wetu. Amevunja rekodi nyingi kwenye tasinia ya mpira ambazo hazitaki maelezo mengi kuyataja.
Kwakuwa amefanya na ziada basi na wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.